Ndugu zangu leo nimependa tujuzane maujanja jinsi ya kufulash cm hususani aina ya nokia zile zenye uwezo mkubwa ambazo ni original sio mchina.japo zingine zinakubal ila zingine zinagoma.kwa wale...
WanaJf je ninawezaje nufaikaje nikiwa na website/wapsite/blog yenye zaidi ya hits/visitors 1000 per day.... Msaada wenu please kwa walio na ujuzi wa mambo haya
kuna kipindi niliichokonoa nikatoa sauti nikawa nasikiliza kwenye headphone, baadae nkashindwa kuirejesha nkafikir labda window, nka-instal new window, window 7 ndio hata nikiweka headphone hamna...
Facing annoying RUNDLL error message on startup on your Windows 7? So how to fix or repair it? No panic, you will learn more below.
What is a rundll error?
Aundll.exe files are systems process...
Mambo vipi wadau, Hope Mko poa, Natafuta Kioo cha Spare cha Laptop aina ya Toshiba Satellite,
Pichani chini ndio mfano wa laptop ambao natafuta kioo chake.
:sleepy:
Microsoft's final copy of Windows 8 leaked online back in early August and pirates have been battling to work around Microsoft's activation technology ever since. Early attempts involved the use...
ni external ya 500gb. Ndani ilikuwa na vitu but now nikiweka haina inachoonesha,yaani contents zake hazionekani na nikiingia properties inaonesha kuwa ina vitu kwa ndani. Tatizo lilianza...
Niaje wakuu. Nilinunua memory kadi 1gb kama wiki 1 hv iliyopita. Nilipoiweka kwny simu ilijubal na pia inaonyesha ina gb 1. Lakini tatizo ninapodownload file na kuliweka kwny memory kadi mara...
Natafuta Laptop aina ya PRO BOOK, Intel 3i, RAM 4GB, processor 2.10 GHZ, 500 HDD.......nina TZ Tsh LAKI NANE, na nipo Dar es salaam, naomba msaada wenu wakuu kama kuna mwenye nayo au ana taarifa...
Natumia karbonn android A1 mwanzo nilikua natumia whatsapp vizuri tu jana nimeifuta sasa kila nikijaribu ku install tena inaniandikia "your content filtering level doesn't allow you to download...
guys tuacheni uvivu kuna problems nyingine uki search google unapata ufumbuzi fasta sio lazima kuja humu kuuliza! maana thread za misaada siku hizi ni nyingi mno tofauti na mwanzo ambapo tulikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.