Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jf. Naombeni kujua faida za kuwa na LED tv ukilinganisha na LCD. Vilevile maana ya series 4,5 nk. Na mengneyo. Asanten
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu aina ya htc yenye window ya android nimeombwa msaada kuna baadhi ya apprication haziko poa kama video haionyeshi afu internet iko slow na inakatakata naweza jua vp kuwa ni feki au orijinal...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau nawaombeni mnifahamishe wapi nitapata iko kitu na kwa garama gani ninashida nacho sana nombeni msaada sme thing like this
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar za jf kama kichwa cha kinavoeleza! Nimenunua kifurush cha sh2500 asubuhi hii cha kushangaza hata sikumaliza dk15 kimeisha! Najua kuna wengi humu ndani wanajua namna ya kutumia intarneti bure...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Come 1 st jan 2013 tunadunda na good old , ever faithful Analog. Kweli si kweli? Vingangamuzi an expensive failure, pure mismanagement?
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Habari zenu wakubwa? Nimejaribu kutafakari sana lakini mwisho wa siku nimekoswa majibu na hii ni kutokana na uelewa wangu Kuwa mdogo kwa maana kwamba Mimi sio mtaalamu wa mambo Haya. Swali...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
waungwana naomben mnsaidie key zake za kuiactivate
0 Reactions
0 Replies
702 Views
naomba mwenye hio program anisadie nashida nayo sana,natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Allah almighty had supported these weak creatures with very sensitive prediction systems…. Allah almighty had supported these weak creatures with very sensitive...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
nimatumaini yangu mu wazima wana jukwaa ,,,,bila shaka wengi wetu tunatumia pirate bay kudownload vitu mbali mbali,,,na japo uenda wengine wanatumi zbigz nahisi wengi wttu ni UTORRENT...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HELLO friends i am going to post a new proxy trick for airtel..........., Here ir a proxy trick 2 download more than 500 mb file :) Proxy=62.75.211 .32 Port=80 apn=airtelgprs. com...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kama mpo aware kuna kampuni ya kimexico inaitwa ifone ambayo walikua wanaclaim wameibiwa jina na iphone na iphone nao wakawashtaki wasitumia jina but apple wakashindwa na kampuni ipo hadi leo...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
nna kms 9.4.109 security[kaspersky] kwenye simu yangu mda wake umekwisha naomben msaada wa KEY zake za activate mana kila nayo ipata wanasema imexpire....tafadhali jaman msaada wwenu
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Ningependa kuuliza kama naweza pata samsung galaxy mini kwa kilo 2 unusu madukani? Pia nataka nijue bei za ideos madukani?
0 Reactions
4 Replies
899 Views
wakubwa nilikua napga buku kidogo bt saiv hii kitu haipg kaz vp kadma unazo ni pm bc mkuu Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am doing some research on water quality guidelines in Tanzania. Can any one guide me where can i get the drinking water quality quidelines that are applicable in Tanzania. We have plenty of...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
WHAT SHOULD I DO WITH THIS ERROR? Error mounting /dev/sda5 at /media/ubuntu/8a61c682-0b0d-4279-9908-ad86c77437f5: Command-line `mount -t "ext4" -o "uhelper=udisks2,nodev,nosuid" "/dev/sda5"...
0 Reactions
4 Replies
668 Views
Habari wataalamu. tafadhari mwenye BLUETOOTH DRIVER ZA DELL N5050 anisaidie au anielekeze niweze kudownload. msaada please kwan hii mambo imenishinda kabisa kuipata
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Wakuu, kama unahitaji logo ya kampuni yako au biashara yoyote (vigezo na masharti kuzingatiwa), just PM me..am doing it for free... karibuni (Serious pls)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wanajukwaa,,,nawaombeni msaada jinsi ya kufanya free skype calls nikiwa connected kwenye internet,,,nimejaribu ku-wtch video za youtube lkn nyingi picha hazionekani vizuri na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom