Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habarini,ics ni componet ambayo ni rare sana kukosekana katika vifaa vya electronics.Je, hii component ina kazi gani katika vifaa vya kielectroki?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada taa hiyo ina maanisha ubovu gani ktk injini?gari ndogo ya petrol.nipo njiani msaada please
0 Reactions
17 Replies
10K Views
wakuu naomba msaada wenu kwa lolote ulijualo juu ya OBD 2 SCAN TOOL ?. mm nifundi umeme wa magari so nilikuwa nataka kununua mashine kwa ajili ya kufanyia diagnosis,kupimia. so kulikuwa na option...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuchange Bada OS kwenye Samsung wave na kuweka Android OS
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba ushauri...Boss wangu ameongeza account ya Administrator on my laptop. So my laptop has now 3 accounts; Administrator; My Account and the Guest Account. What does Administrator Account...
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Wakuu habari za muda huu tena, Naombeni msaada wadau, Nina external ya 1TB nime weka data, ila toka week iliyopita nikifungua data hazionekani, nikicheck ukubwa yani disk space used ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
waungwana msaada waku set internet kwenye galaxy young by default netwk. kama nikiweka zantel, tigo nk nisihangaike ku set
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Wakuu heshima kwenu,nina movie zangu nimezi download lakini nimeshindwa kuziweka kwenye DVD ili niangalie kwenye TV yangu,Naombeni msaada wakuu,nimejaribu kutumia Real player imekataa,VLC...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jamii... Mimi ni mwakilishi wa asasi ya kiraia inayoitwa Matabula's foundation. Tulikua tukihitaji nembo (logo) kwa ajili ya asasi yetu, ivyo tukaona tuwaombe wadau wanaoweza kudesign...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
SAMSUNG LAPTOP 15" YENYE SPECIFICATIONS HIZI INAUZWA LAKI 5 NA NUSU, IMETUMIKA KWA MWAKA MMOJA TU NA BADO IKO KWENYE HALI NZURI. BATTERY INAKAA MASAA MATATU. Processor Intel (R), i3 CPU M380 @...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
PhoneOnMap makes it possible. It's a service that provides a free application that has to be installed in GPS cell phone and you are ready to track the phone from anywhere on the Internet. This...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakubwa naomba msaada namna ya kuitengeneza flash kwa kutumia Command Prompt ili iweze ku-boot window...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nipateje SDA Bible Commentary toleo jipya
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Wakuu naomba kujua jinsi ya kuinstall pdf reader kwenye blackberry curve 8520
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Asalam kwenu maraki mnaonisaidia kimawazo japo hamnijui. Tarehe 26 mwezi uliopita tulipata maendeleo ya kuwekewa umeme katika nyumba ya kupanga, tukawekewa na tanesco unit 50 za kuanzia, siku 11...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeshangaa kukuta hadi kwenye king'amuzi cha DSTV wameadika 7 days to go pale juu kulia. Ina maana hao dstv nao wanaamini mwisho wa dunia ni tar. 21/12. mbona wanatutumia msg tukalipie hadi mwakani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nina Nokia 110 nina Application karibu zote za Internet. Kama Nokia Browser, Ebuddy, Nimbuzz na Operamin. Tatizo langu sina huduma ya Whatsapp. Je, inawezekana kuipata hiyo huduma na kuweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hii simu kuxema kweli nimeipata kwa bei rahisi tofauti na mategemeo yangu nimeangalaia serial no. kama walivyoelekeza ndugu zangu humu JF, No. zile zilikubali kwenye ile site lakin bado na mashaka...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani salam wakuu, najua mko poa. Leo nataka tujadiliane kuhusu hili kwani nataka kujua na ikiwezekana nilifanyie kazi wazo lenu. Mimi nataka kujua aina gani ya NOKIA SYMBIAN ambayo ni bora...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom