Naombeni msaada wakuu, kuna mtu kaniambia nikipata drivers za graphics, VGA drivers na ku-update video card computer yangu itaperform splendidly compared to now. Msaada geeks,ipo slow kama uji...
Wakuu Wenzangu kuna website moja kila nikifunguwa napa jibu hili ( Duplicate headers received from serverThe response from the server contained duplicate headers. This problem is generally the...
Habari zenyu wakuu?.
Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je...
Jaman napenda leo tujadili kuhusu hizi browser
WHICH IS THE BEST BROWSER
kati ya Mozilla ff na Google crome
na kwa kuanza mm naweza kusema Google crome ni nzuri kwa sababu,
1.ina speed kubwa...
najaribu weka settings za internet kwenye XPRESS MUsIC then inanambia "only 70 sets allowed, settings discarded"..hii kitu imekaaje? simu net haingiii then nikijaribu weka settings naletewa...
Habari wana jamii... Mimi ni mwakilishi wa asasi ya kiraia inayoitwa Matabula's foundation. Tulikua tukihitaji nembo (logo) kwa ajili ya asasi yetu, ivyo tukaona tuwaombe wadau wanaoweza kudesign...
Habari zenu wanajukwaa ,,,,wakuu nina modem lkn kila nikiiweka katika pc inasema '''''the device is unrecognized by windows''''' na nikienda my computer sioni dalili ya any device ,,,,imewai...
Habari za usiku wadau wa JF;
wakuu nina kakimeo kangu ka Nadia napenda kujua baadhi ya parts za gari. Gari inayo manual lakini imeandikwa kijapan ambayo hata kutafsiri tu sijui. Naomba ambaye...
Tumia mojawapo ya key hizi kuupgrade window 7 kuwa ultimate.
*7YWX9-W3C2V-D46GW-P722P-9CP4D
*MM7DF-G8XWM-J2VRG-4M3C4-GR27X
* KGMPT-GQ6XF-DM3VM-HW6PR-DX9G8
*MVBCQ-B3VPW-CT369-VM9TB-YFGBP...
Written by Rose Athumani | The Daily News | October 14, 2012
TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off...
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu....na kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio...
Habari, wana Technology Mimi nimefanikiwa kutumia OVI NOKIA SUITE Je ni nini madhara ambayo simu inaweza kuyapata kwa kutumia OVI NOKiA SUITE kwa Muda Mrefu?
Wakuu,
Kama ilivyo kawaida yetu tuendelee kuelimishana bila kuchoka.Leo naomba kueleweshwa namna ya kuunganisha laptop na wireless internet nikiwa eneo lenye access na wireleass...
Habari zenu wanajukwaa ,,,,wakuu nina modem lkn kila nikiiweka katika pc inasema '''''the device is unrecognized by windows''''' na nikienda my computer sioni dalili ya any device ,,,,imewai...
Msaada wadau nimeibiwa BLACK BERRY TORCH sasa nauliza kama naweza ikamata au kujua ilipo kwa kutumia pin yake au ni ngumu kutrace? Vijana magomen wameniweza jana...please mwenye ujuzi wa kutrace...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.