Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu! Nataka kununua king'amuzi kwa ambaye anavitumia naomba anieleze yafuatayo 1) bei ya king'amuzi 2) malipo kwa mwezi 3) idadi ya chanel nitakazoziona ni Star times, TING, Zuku na...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Wakuu natumia iphone sasa naitaji kupata ile application ya whatasp kuna maujanja yoyote yanaweza kufanyika? I mean kwa kupata ile application kwa free
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Jamani kama kuna yeyote anayefahamu jinsi ya kuingiza proxy na port za airtel kwenye firefox au opera mini afunguke hapa anipe maujanja....Thanks in advance.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nasikia hizi kampuni za mitandao ya simu zinaprovide tu network lakini hazihusiki na utengenezaji wa vocha za airtime,hii inakuwaje? Na ni makampuni gani kwa hapa kwetu yanahusika na...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Kutokana na maoni ya wadau mbalimbali tunayo furaha kuwatangazia, kuwa Mjengwa Blog itatoka na muonekano mpya ifikapo Januari Mosi 2013. Maggid Mjengwa Mwenyekiti Mtendaji -Mjengwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni usaidizi, Resently nimeistall windows 7 from a usb stick kwenye mac book air yangu. Sasa wakati wakuinstall nimeistall ila ilipofikia kurestart ili kuendelea na installation ikashindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu.naombeni mnisaidie kama kuna program inayoweza kutumika internet cafe kwa ajili yakuset time kwa wateja.kama vile ilvyo time watcher. Time watcher kwangu inazingua
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari wana JF! watumiaji wa tigo naomba kufahamu juu ya ropaganda hii nackia kuna mabando yakweli
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nna king'amuzi cha dstv ila sipati local channel. Sielewi serikali ilimanisha kwamba sitakiwi kuona tv za kwetu ili niangalie za nje tuu au? Kama hivyo kweli huu si ndo ukoloni mamboleo wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
ktika channel zilizoathirika mojawapo ni clause tv chaajabu kabla mitambo haijazimwa kwenye digital ilikuwa inaonekana vzr baada ya analojia kuzimwa nayo haionyeshi pia ninavyomjua ndugu yangu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Simu aina ya smartphone na kompyuta za tablet zinazosemekana kuwa vifaa vya mawasiliano vya kwanza kutengenezwa na kampuni ya Afrika zimezinduliwa. Vifaa hivyo, ambavyo vimebuniwa na mjasiriamali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
naomben msaada ni vp nnaweza kuitumia nokia yangu e51kama modem katika tablet??? je tablet zinakubali nokia pc suite??? 2. je nokia e51 inaweza kuprovide wireless kama androids??? natanguliza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Tittle imejieleza, naomba mwenye ufahamu anijuze vizuri, Je ni simu zote za kichina au baadhi, maana mimi ninayo tecno, t451 sa sijui nayo pia itafungiwa au lah!
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Wakuu, laptop yangu inanisumbua kutokana na kutoonekana kwa details za mafolder mpaka u-highlight, tatizo litakuwa ni nini?
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Habari naomba msaada START BAR kwenye laptop imehama sijui imehama vipi kama ni setting ni sehemu gani ime change nibadilishe irudi chini kama kawaida!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta Kampuni ambayo itaprovide internet kwenye Office yetu Ipi ni mzuri jaman kwa Hapa Dar ambao hawana Matatizo>
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni maduka yap yanauza LAPTOP nzuri za SAMSUNG na SONY kwa DAR ES SALAAM??.Mara nyingi nakosa Duka maalum ambalo naweza kupata laptop hizi kwa bei nafuu kidogo,.Naomben msaada wenu wakuu kama kuna...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Hi members I am currently working on a web project and I want to display date in a format like Wednesday 24 January2013.I have videos by Lynda from Lynda.com and I followed that concept but...
0 Reactions
7 Replies
747 Views
kati ya vitu ambavyo vimepigiwa upatu na kelele nyingi juu ya kukua kwa mawasiliano (TEHAMA)nchini na wengine kwenda mbali zaidi kusema Tanzania kitakuwa kitovu cha mawsiliano kati ya nchi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom