One small hut for man: European Space Agency unveils plans for mankind's first habitable MOON BASE... built almost entirely out of lunar soil by robots
Blueprints for mankind's first habitable...
Salaam wakubwa.
Simu yangu niliyoitaja hapo juu inaninyima raha kwa kuwa kila nikiitaka inifungulie kwenye kurasa za kutoa maoni za jamii forum inanigomea kufunguka. Tangu niinunue haifunguka...
wakuu niliiformat mashine yangu na nimeweka window 7. cha ajabu kila nikijaribu kuinstall printer kwa kutumia cd inakuja hii message %1 is not a valid Win32 application..dah msaada wenu...
Umeshajiuliza je kampuni za simu za mikononi ambazo ni Tigo,Vodacom,Airtel na Zantel zikiamua kutoa statement za matumizi kwa wateja wao tangu mtu aliponunua line ya simu yake na gharama...
Jamani nimehangaika na free hosting mpaka nimechoka sasa nna mpango wa kuandaa server yangu ambayo itakuwa inarun 24/7. Naomba wataalamu mtiririke hapa mahitaji yooote yatakayoweza kufanikisha...
Wakuu habari zenu. Sitochoka kuomba msaada maana hata omba omba huwa unamkuta pale pale ulipomwacha jana. Na kama akihama basi ujue anatafta green pastures. Kuweka mikwala pembeni ni kwamba...
Wakuu Naomba Msaada Mnitajie au mnipe linkz za kudownloa software za Kueka Tags na art Works :. Nlikua Natumiaga Jet Audio Ila Naona Ukiwekea Tags Hii artwork inakua haisomi kwenye Baadhi ya Media...
Habari zenu wanajamvini?
Jamani naombeni msaada ya hii software inaitwa MagicBerry kama kuna mtu anayo ili inisaidie kwa ajili ya kusoma backups zangu zakwenye Blackberry.
Natanguliza shukrani...
SERIKALI imetaja manufaa ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (NICTBB) na tayari yameongeza ubora na kasi ya matumizi ya intaneti, data na utoaji wa huduma za elimu mtandao kwa baadhi ya taasisi za...
Ni mgeni katika winform programming. Nahitaji ku style winform Treeview kwa kuweka custom image badala ya +/- kwenye root nodes, na child nodes. pia kuwe na background color kwa kila node na...
America's Next Top Energy Innovator
45458 likes
Vorbeck Materials Corp.Pacific Northwest National Laboratory
Vorbeck Materials was founded in 2006 to bring to market products using graphene, a...
-screen ya bb10 itakua na 4.2 inches ikiwa na 356 ppi. (hapa naona wamejitahidi kuleta specs za kisasa)
-blackberry z10 ndo itakua full touch screen na q10 itakua qwerty(ya button)
-kama...
Wadau ninatatizo la kufanya USB Tethering kuconnect internet toka kwenye Android phone yangu kwenda kwa PC. Naconnect phone kwenye PC, then nakwenda setting, development, USB DEBUGING. Then...
hii ni habari njema kwa wanaotumia simu za java na blackberry ambao walikua wakidownload wanashindwa kuresume mafile yao pindi network ikikata.
Wengi wetu tulikua tukitumia opera kwenye...
Wakuu naombeni msaada wenu anayejua link za kudownload games za PS2 kwenye flash anisaidie coz hapa nilipo nacheza game moja tu yaani PES 2012 nikaona nataka niongeze zingine ACTION GAMES...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.