Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna ambaye ana mobile platform kwa android?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanabodi habari yenu! mimi ni mgeni kabisa katika haya maswala ya dish naomba mniweke sawa kidogo nina maswali yafuatayo katika huu ulimwengu wa FTA 1 ) what is KU Band na C band ...? 2) Je...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani Na0mba msaada wenu,nataka kutumia internet Kwenye simu ya symphony Android Lakini Nimeshindwa,Inataka Mpaka Kwa wi-fi na hapa Home hamna Wi-fi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
if you want the latest technological news in Tanzania and how to do something for your phone you can visit us today n we gonna help you you can like our facebook page and twitter page and don...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Habari wadau. Hivi kuna namna ya kufanya zile simu za huawei ascend y200 zinazouzwa kwenye tigo shop zikatumia line nyingine yoyote. Kwa sass wamezi-lock kutumia line zao za tigo pekee. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau kama kuna m2 yeyote atakuwa na game ya pes 2012 plz naomba anisaidie im dying 4 it nipo dar mmbezi kwa msuguri thanx in advance
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF Mini natumia dish la ft 8 yale meusi ya wavu na receiver nayotumia ni HUMAX. Sasa mtoto kachezea remote na settings zimevurugika kabisa kwa sasa hakuna channel yeyote ninayoiona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna program nimewekewa ya kutumia net bure. so ni mtandao au modem gani inaafaa kutumia ambayo iko fasta?
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Habari za wikiendi wanajf wenzangu baada ya kuleta kwenu tatizo lililoikumba tv yangu aina ya Sony Trintron inch 29 na kupata mawazo ya wadau hapa niliipeleka kwa fundi tatizo likagundulika liko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nataka kuanzisha internet cafe dodoma mjini me nipo chuoni sasa nilitaka kujua software gani ya time watcher ambayo itanisaidia nisiibiwe iwe ina count muda kila mtu akiingia ihesabu ili...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Kwa mara nyingine tena napenda kuwataarifu kwambafirst nataka mwenye ujanja wa kufanya wifi ya university iweze kudownload pia iweze kuwa na speed{inaonekana hivi vitu vimekuwa limited ktk hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa wale wauzaji wa mobile phones, kipato changu ni cha kati hivyo ninajipanga ili mwishoni mwa mwezi niweze kununua simu ya kisasa, nimeona Samsung Galaxy duos ya double line...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Habari zenu wana Jf wote!ni imani yangu wote ni wazima but kama kuna wagonjwa basi poleni na ni imani yangu mta-recover soon! NAOMBENI PIA MSAADA WENU KUHUSIANA NA torrent sielewi ninini na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari njema kwa wana JF wote leo nimewaletea Ofa Kabambe katika msimu huu wa sikukuu. Nunua Toshiba Laptop na ujipatie Flash Disk ya 2 GB bureeee. SPECIFICATIONS Processor: Intel Dual...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
mm ndo nimejiunga, lakini kwa njia moja au nyingine imenisaidia sana tena sana!! ila eti naweza pata activation ya microsoft office 2010??
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Wadau naombeni msaada wa mambo mawili kuhusiana na hizi tigo modem Huawei E173 zenye offer ya 4GB unaponunua, tatizo ni hili ina detect EDGE network tu, ukienda kwenye OPTIONS ubadili network uka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Opera Software ASA wamefanyia upgrade Opera Mini 7.0 na kuitoa upya ikiwa 7.1. Kikubwa walichoboresha ni download manager. Wamefanya yafuatayo: Speed ya kudownload imeongezwa kwa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wa kuaunluck simu yangu ya imejilock baada ya kubonyeza pattern zaidi ya mara tano.na kila nikijaribu inaniomba kuweka gmail account yangu ambayo siikumbuki.leo napokea simu...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba msaada juu ya jinsi ya kufanya kwani mouse pointer (touch pad) ya Laptop Gateaway imegoma 'kutembea', hivyo kunifanya kushindwa kufanya kazi kwa ajali ya...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu nina Toshiba laptop napata shida sana na mwanga.Nimejaribu Fn na ile symbol ya mwanga hai respond chochote.Nimeenda kwenye Power option nako sijafanikiwa.Naombeni msaada wenu wakuu.Muda si...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom