Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Umofia kwenu Guruz wa Computer!! Nina HDD yangu ya 160GB sasa leo nikafanya disk clean up sasa kuna 56GB ya compressed old files sasa je nikizi clean up ili nipate hizo space je kuna baadhi...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Kama wewe ni mmojawapo wa watumiaji wa command kwa kufanya vitu vyako na hii ni kwa computer,unawezakuwa umekutana na neno kama hili,"help is not recognized as an internal or external command au...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Nikitaka ku instal program kwenye comp yangu, badala ya kuniletea mchakato wa ku instal inaniletea kibox kilicho andikwa File Conversion-EXCEL.EXE. pia hata niki iwasha inaleta kitu hicho hicho...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
mambo vipi wana JF, kwema? Jina langu naitwa paulus baragi, natafuta marafiki ambao walisoma na mzee wangu aitwaye Nyakuwa Nyakitita Baragi nchini Urusi miaka ya 83 hadi 89 , alikua anasoma Mji wa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Yoyote mwenye kufahamu wapi ninaweza kupata mashine mpya ya kupima vipimo mbalimbali vya afya(Magnetic Quntum Analyzer), na bei yake anitaarifa, hasahasa kama zinapatikana Arusha, Moshi na Dar.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Natumia simu yangu ya Smart phone kwenye masuala yangu ya internet zaidi kuliko computer, ila tatizo limekuwa ni kasi ndogo ya internet na hata mala nyingine mtandao kukatikakatika. Lakini...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
'Super-Earth' Alien Planet May Be Habitable for LifeBy Mike Wall | SPACE.com – 12 hrs ago Email Share Share5 Print Related Content Enlarge PhotoThis artist’s impression shows …...
0 Reactions
8 Replies
981 Views
Moja ya site zilizobamba kipindi ile ni visit leo hamna member hata mmoja online kipindi ile raia walikuwa kibao ..ndo kusema pipo zimehama au?????
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau let share haka kakitu kadogo. Convert Web Page to PDF - #1 Web to PDF Converter hii itakusaidia kusave page yote ya web kwenda kwenye pdf format, ni njia nzuri sana wakati mwingine wadau...
2 Reactions
4 Replies
900 Views
Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie kuhusu hii service ya CRDB haswa pale kwenye log-in page yao,naomba niwaulize hivi username na password unapata ukishasubmit form yao au vipi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu! Naombeni mwenye uelewa na ufahamu mzuri wa simu za HTC anijulishe. Ufahamu huo ulenge hasa katika ubora na uduni wa simu hizo. Na Htc ipi ni nzuri kwa resolution nzuri ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Je TV ZA DIGITAL zitashika channel mbalimbali bila kuwa na kadi yoyote kutoka kwa haya makampuni ambayo yanatoa huduma kama startimes na tings.? Au tofauti ya TV ZA DIGITAL NA ZA KAWAIDA NI ILE...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Wandugu nahitaji kununua Wi-Fi SD Card kama hii hapa chini kwenye picha Wapi nitapata jamani?
0 Reactions
1 Replies
735 Views
hey open the link EXCEL VIDEO TRAINING/TUTORIALS the site looks exactly like JF except few parts .....can any one tell me ni tool imetumiaka kutengeneza JF ?(just curious).....
0 Reactions
6 Replies
855 Views
SIM-Lock Status for: - All iPhone Models inc 01317xxxxxxxxxx IMEI's - All iPad Models inc the new iPad
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kwa wale wenye matatizo ya kutojua watapataje acess kwenye computer zao,hapa nipo ninaeweza kutoa password
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mars Mystery: Has Curiosity Rover Made Big Discovery? Mars Mystery: Has Curiosity Rover Made Big Discovery?By Mike Wall | SPACE.com – Tue, Nov 20, 2012 Email Share Share21 Print Related...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Greenhouse Gases Hit Record High in 2011By LiveScience Staff | LiveScience.com – 15 hrs ago Email Share Share17 Print Related Content Enlarge PhotoThese charts show the concentrations …...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Wakuu, baada ya kupata shida sana katika kupata video stabilization nimekuja na ubunifu binafsi kwa kutengeneza SteadiCam ambayo imenisaidia sana kwenye kazi zangu. Kwa sasa napiga video zenye...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
[emoji56]
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Back
Top Bottom