Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Einstein's Brain Reveals Clues to GeniusBy Tia Ghose, LiveScience Staff Writer | LiveScience.com – Mon, Nov 19, 2012 Email Share Share55 Print Related Content Enlarge...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Start with C programming Ndung wana JF ningependa kuanzisha uzi huu kwa lengo la share idea katika kuprogram macrochips. kwa kutumia C na Assembly language. Ningependa wachangiaji wachikite...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Niaje mazee kwanza kabla ya yote nimetegeneza video kuonyesha kuwa hii repack is working perfectly maana at many times hizi repack au compressed games zinakuwa haziwork.. hii inawork tu ukifuata...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
website ipi naweza download driver pack solution? thanks
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ninatumia account ya yahoo,sasa kuanzia leo mchana nimeanza kupokea delivery failure kwa e-mail ambazo nilishazituma hapo zamani na kujibiwa bila tatizo.Kitu kingine cha ajabu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mnisaidie jamani vitu vingi nikidownload toka play store vikishamaliza kudownload vinasema file invalid, vingine vinasema haviwezi kuinstall kwenye sd card, nifanyaje jamani?????? ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Habarini wana jf, nimenunua laptop ya aina niliyotaja hapo juu kwa kweli najuta, kwanza naona iko very soft kutokana kuna siku nilikuwa nimeiweka kwenye begi la mgongoni huku na ride pkpk kutokana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Jf, nina samsung wave 2 yenye OS ya bada, nataka kubadilisha niweke android, je inawezekana? Au ni ipi nyingine ninayoweza kuweka?
0 Reactions
1 Replies
804 Views
nimenunua televisheni pamoja na dishi la kunasa mawimbi ya TV na hapa nilipo hakuna mtaalam wa kunisaidia kufanya setting ili niweze kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya nchi hivyo kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wanajamvi........ Naomba msaada wenu kwenye hili Natumia pc window7 kila nikiiwasha inaonyesha sentens "window is loading files.........." then inaanza kuload inaandika "Startup...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Wadau navisukuma vitu hivi vinaweza kuwasaidia ndugu zetu wa vyuo,hostel,internet cafe,nyumbani nk. Nawakilisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa natumia AVG 2012 trial hadi last week ilipoexpire nikaitoa.Baada ya hapo computer yangu haiconnect kwenye internet,si modem wala wireless. Nikiweka modem network inasoma kama kawaida 3G...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nahitaji kufahamu "internet protocol"inamaanisha nini? Na alama hizi zina maana gani katika internet protocol" IMAP4 na POP3"
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu!naomba msaada printer yang inaprint page 1 then inastop had uiwashe tena ikistop inawaka taa ya njano.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada kwenu programmers,mimi ni beginner nimetengeneza application kwa kutumia vb.net 2010,kutokana na kazi yake ni ClickOnce Application haihitaji kufanya installation,problem inakuja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wanaofahamu au wanaotumia ebay. unaweza kuagiza bidhaa ikakufikia tanzania au ebay ni inatumika kwa huko kwao? kama bidhaa inakufikia tanzania vipi kuhusu suala la malipo ili bidhaa ikufikie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina HP laptop ila inanisumbua for long time now,nikiiwasha muda mwingine haidisplay screen inakuwa nyeusi tu ila unasikia imeshawaka au Kama umawatch kitu inakuwa blank afu sauti inaendelea...
0 Reactions
7 Replies
414 Views
naomba msaada wa haraka, maana ghafla computer screen imebadilika rangi na kuwa ya kijani. Na tena tatizo limezidi kuongezeka maana kuna vidotidoti vyekundu vimeanza kutapakaa screen nzima...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Msaada na mm jmn cm yangu (nokia 3120classic) niikingia kwenye Galley kufungua memory card inaniambia 'memory card not formatted' format now nifanyeje na mm ctak kuiformat
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom