How to Build Your Own Internet
Satellite Receiver
Contributing Writer
Be connected on the go.
Rural or remote locations pose
problems for people who depend on the
Internet to conduct...
Mwanzoni nilidhani Bongo ndio tunaongoza kwa kutengeneza movie mbovu kumbe na wenzetu hawavumi ila wamo...
Ukiangalia cover ya hiyo movie utasema ni bonge la movie lakini ukija kucheki unaweza...
Watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa Fisi (Spotted Hyaena) ni Huntha (kiumbe chenye mifumo yote ya uzazi wa kike na kiume). Ukweli ni kwamba mnyama huyu siyo Huntha (hermaphrodite) bali maumbile...
naomba ushauri wa kununua tv............. ninunue aina gani ,,,,,,zaidi naju tu flat screen ila sijui nichukue ya aina gani na yenye ubora gani cose cjui sana kuhusiana na mabo hayo
Habari zenu wakuu. Nime-install ArchCard-9 software kwenye computer yangu, lakini ipo katika Demo Mode, siwezi ku-save wala ku-print kazi yangu. Kama kuna anaejua jinsi ya kuchakachua naomba...
Kwa kawaida huwa napata speed yangu mwisho kabisa inakuwa ni hii Download speed 8.00 Mbps Upload ni 0.70 Mbps. lakini leo nimepata Speed Zaidi ya yangu ya kawaida yaani Download Speed 12.78 na...
baada ya samsung tarehe 29 august akaja nokia na motorola tarehe 5 september leo ni zamu ya apple kuzindua iphone 5. Mda sina uhakika ila nadhani itakua saa 3 usiku.
Mpaka sasa kuna leaks kua...
Wakuu habari ya Jumapili? Nina Asus mini laptop ambayo ninataka niwe naitumia kuangalizia muvi kwenye TV yangu,ila niki play muvi Muvi zenye High Resolution (kama Blu Ray Kwa kutumia Vlc ,KMP au...
Hii nimewahi kuisikia zamani sana kuwa umeme unaotokana na choo unawezekana kwa kujaza majivu ndani ya mfuko wa rambo na ndani ya mfuko unakuwa umefunga jiwe kwa copper waya ambayo ncha yake...
Isinge kuwa torrent hizi latest mamboz tungepata wapi? Maana hata ukihitaji za kununua hata madukani hazipo! Pale TAZARA mataa jamaa wameweka bango la kuadivatise Windows 7
Thanks torrents and...
WanJf naombeni msaada. Awali nilkuwa nasoma Jf MaJukwaa yote kupitia simu yangu ya Samsung DUOS. Nina wiki mbili sasa hivi siwezi tena kusoma wala kuchangia. Kufungua JF naipata. ila inapokuja...
Wandugu natafuta free software ya kuweza ku-edit .avi files, hizi ni video files sasa kuna nyingine sauti ni mbaya nataka kubadili sound au hata kuongeza au kuweka picha nyingine,
Nahitaji kwa...
nimekuwa nikitumia hii simu kwa muda kidogo kwa kutumia line ya voda. Ila inapokuja kwenye matumizi ya mpesa, mara kadhaa haswa napotakiwa kutumia pin inaniambia nimekosea kuweka tarakimu wakati...
Jamani sijui ndo maana naomba msaada. Mm ni mpenzi wa kwaya au niseme nyimbo za dini, na nachohitaji ni jinsi ya kuziedit nyimbo zangu such niondoe maneno na kubakiza instruments tu. Napenda sana...
wakuu natanguliza kwanza shukrani zangu kwenu. mim nilikuwa na swali au tatizo kidogo.kwani kwenye laptop huwa kuna kuwa na camera pale juu ya display je?? haiwezekani kufunga au kutengenezea au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.