nimelipia kifurushi cha uhuru lakini nashangaa channel kama STVE 1, MTV Base, Kungfu, DTV Hazipo kwenye list ya channel. Sasa sijui zimeondolewa au kwangu tu ndio magumashi?
Jamani naomba mnijuze ntawezaje kutambua kama window mobile ni original, inaitwa Mito9000 ina keypad na screen touch, na ina mfumo kama computer kuna start microsoft excel na vingine tatizo...
Naombeni msaada wenu wataalamu wa hii category je ni kweli kwamba pc yenye linux ina virus free yaani haiwezi kuingiliwa na virus na je kati ya pc yenye window & na linux ipi ni latest
Salaam Wanajamii,
Kukua kwa teknolojia ni faida kubwa sana kwa jamii,huduma ya kutuma fax na mtu kuipata kwa email ni huduma ambayo imekuwepo katika nchi mbalimbali,kwa nchi ya Tanzania ndiyo...
Jama technitians tv ni ya nchi 17 ina jina: ouling imegeuka rangi ghafla imekuwa na rangi nyekundu na vimistali ila sauti inatoka msaada wa maelezo plz!
Jaman naombeni msaada wenu kwan kuna tofauti gani katika ushikaji wa internet kati ya simu za kawaida na nokia asha 311, sababu nikiwa maeneo ya town napata internet fresh kwenye hyo nokia, bt...
Nina ka-Blackberry ila kuna link nyingine na app nashindwa kufungua inaniandikia "This is Wi-Fi service.Please ensure your device has an active Wi-Fi connection and try again"
Sasa mi ndo tatizo...
Habari ndugu zangu wanaJF... Wengi wetu tumekua tukitumia google blogs, zile zenye extension ya .blogspot.com kwa ajili ya kupost habari na taarifa mbalimbali. Nimekuja kugundua kua izo blogs...
kwa wataalam hii sio tatizo ila kwa wageni, jifunzeni kurahisisha kazi kwa kutumia keyboard shortcuts, hizi hapa below,
The General Shortcuts
Well kickoff the list with some really...
Samsung set to release smartphones with bendable display screens next year. This is ment to reduce the occurences of screen breaking or cracks.
Hmm...what should we expect from apple then...
Naomba msaada wa hiyo activator kwa mtu kuni nisaidia kuia attach hapa ili niweze kuipata kiurahisi coz ku google inanisumbua wakati wa kui download nawasilisha....
Habari wana jf
nataka huduma hii ya electric fence kwenye uzio wngu
1.ukubw wa kiwanja ni 1200sqmita
inakuwa je
bei yake na niwatafute watu gani kwa kazi hii yaani kampuni gani
ni bei gani???/...
Natambua ya kuwa kuna plugin nyingi sana za wordpress za caching na speed improvement ambazo ni nzuri and most of them are highly recommended lakini kwa upande mwingine plugin hizo zinaweza kumpa...
Naogopa kuUpgrade kwenda windows 8 kwa kuhofia kwamba labda applications au softwares zaweza kuwa incompatible with hiyo kitu, sasa naomba msaada wenu' 'vipi hizo previous programs mko nazo...
Jamani ningependa kujua kwa wale wataalamu wa website kama kuna wapenzi wa Drupal CMS (drupal.org). Ingekuwa vizuri kama tungekuwa na community hapa bongo au hata east africa.
Greetings,
It has been a while since I last interacted na wanaJF humu, nilikuwa nashughulikia kitu ambacho leo ndio nimewaletea mnipe maoni yenu.
Nimetengeneza website hii http://www.achuver.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.