UFOs over Denver (maybe)By Mike Krumboltz | The Sideshow 11 hrs ago
Email
Share
Share7
Print
Straight out of the X Files comes this clip from Denver's Fox 31. Last week, a viewer sent...
Farthest Known Galaxy in the Universe DiscoveredBy Clara Moskowitz | SPACE.com 9 hrs ago
Email
Share
Share
Print
Related Content
Enlarge PhotoThe galaxy MACS0647-JD (inset)
Enlarge...
Ni muda mrefu sasa nashindwa kuattsch file kwenye posts hapa JF.Mwanzo nilidhani labda ni net ipo slow,lakini kwenye email inakubali tena fasta. Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini,maana hata...
Naomba kwa yeyote mwenye link ya website ninapoweza pata nyimbo za Efraim Geleketi (Gospel) mfano ''Kwa mkono wako'' na ''Uniguse bwana'' naomba anisaidie tafadhali.
Hulkshare nimeuona but upo...
Skype - Free worldwide calls for a month
We'd like to give you unlimited¹ calling free for an entire month². That means, in addition to making free Skype to Skype calls, you can also call offline...
Habari wakuu wa jamvi.
nikwamba nimenunu modem mpya kila nikiconect inatoa maneno kama haya ( the computer temineted connection coz pot used were closed)
Nina tatizo moja wadau.
Nina simu yangu NokiaN95 8GB lakini chakushangaza haiwezi kuingia internet, nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja Vodacom ili waweze kunitumia configeration lakini...
Tanzania unakuta bei ni mpaka mara 3 ya Kenya, je kwanini inakuwa ghali hivi kupiga simu kutoka n'gambo? NIni kinasababisha na serikari ifanye nini?
Naomba maoni yenu.
jamani haiwezekani kupata domain ya .tz? kama wenzetu wa .fr, .us, .ru, maana mie sipendi hii .co.tz, sio kila mtu anataka domain ana kampuni (i guess ndo maana .co baada ya .tz) nataka smthn...
kama unaongelea kampuni ambayo haifatilii patent zake ni nokia, nokia wamekua wapole watu wanacopy vitu vyao ila wananyamaza kimya. Nokia anaown patent zaidi ya 10,000
Wa kwanza alikua apple...
Naomba kuuliza waungwana, nimeinstal AVAST jamaa akaniingizia
Key, inaniambia imekuwa Registered na mwisho wake ni 2038 hivi
inawezekana kweli maana mpaka mwaka huo!!!!
wakuu natumia sumsung galaxy pocket nime install Android Window 7 via google play,inapiga mzigo fresh ila tatizo kwenye screen kuna maandishi yanasema UNREGISTERED,kijiregista ina cost ankara so...
Adobe Reader ya Nokia E61i imegoma kufungua mafaili yaliyihifadhiwa kwenye simu na memory card. Hili tatizo limeanza ghafla siku tatu zilizopita, nimenifanya kushindwa kusoma taarifa muhimu kwa...
Wana ndugu habari!
Photocopy machine imehariba inatoa erro ya ' restart the machine, if problem persists call service rep. **E000A261-0000' ni aina y canon 2420. So naomba msaada
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.