naomba kujuzwa website ambayo naweza order and purchase online in secure way MFANO kuorder DIGITAL DICTIONARY online e.t.c..na delivery kupitia DHL na EMS..NAOMBA MSAADA WENU WADAU
Jamani mimi ni mshamba wa Ku unlock moderm hivi kuna faida gani?? Mimi nina Airtel model ZTE 190 na ninaitumia tu ninaweza kupata faida kwa Ku unlock Tafadhari nimeisha sema sijui na ni mshamba...
Hi everyone,
Am here to announce that i do all the factory unlock for iphone 5, 4s, 4, 3Gs and 3 to accept any GSM sim card. Call me to place your order and provide me with only your IMEI number...
Natumia moderm ya Airtel e153u-2 siyo 3.75 mwanzo ninapo connect speed inakuwa nzuri lakini baada ya dakika 5 hivi speed inapungua sana siwezi kufungua hata page mpaka niitoe then niiache kwa dk...
Natumia moderm ya Airtel e153u-2 siyo 3.75 mwanzo ninapo connect speed inakuwa nzuri lakini baada ya dakika 5 hivi speed inapungua sana siwezi kufungua hata page mpaka niitoe then niiache kwa dk...
Inside NASA's New Spaceship for Asteroid MissionsBy Clara Moskowitz | SPACE.com 13 hrs ago
Email
Share
Share1
Print
Related Content
Enlarge PhotoA mockup of NASA's next generation ...
First map produced of universe 11 billion years ago
By Chris Wickham | Reuters
LONDON (Reuters) - An international team of astronomers has produced the first map of the universe as it was 11...
1. Open Notepad
2. Type the following line in notepad:
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"I love you"
3. Save file as computer_gender.vbs
4. Run the file.
If you hear a male voice, your pc...
Wakuu naomba msaada wenu juu ya hili tatizo maana nimenunua aina hii lakini utendaji kazi wake umenichosha, yani hadi saa nne usiku ndo inatiririka vizuri, msaada wenu tafadhali niweze kutumia...
Lengo ni kutengeneza program ambayo itakua inabadili vb code kwenda kwenye webbased code na kinyume chake.
Kwa mfano;
VB Code
Private Function Add()
dim a as integer
dim b as integer...
Habari za leo wanajamii!? Nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 4s maeneo ya bahari beach. Je kuna namna yeyote ambayo wataalam mwaweza nisaidia kuitrack.
NatAnguliza shukrani
india imezinduliwa tablet inaitwa akaash 2 kwa dola 25 thamani ya hii tablet ni kubwa zaidi ya hio na ina specs kubwa lakini serikali ya india imesubsidize kwa ajili ya wanafunzi wake.
-ina...
This is an info on how to use your
1,2,4,8, GB Memory card or Usb flash as a RAM for
your PC.
pls follow the steps below carefully.
1.INSERT YOUR MEMORY CARD INTO
YOUR CARD READER AU USB...
Wakuu nimekaa nimewaza na kuwazua kuwa laptop ni mzigo kwangu mimi shughuli zangu ni biashara sana sana sasa nimeona kuwa ni bora niwe na Tab tu laptop niigawe nilikuwa nataka nichukue ipad2 ila...
naomba msaada wakuu, nina laptop dell latitude D620, nimeiangalia ina sehem ya kueka sim card chini ya battery naomba matumizi yake, nimejaribu kueka sim card tofauti lkn hazisomi, je inahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.