wadau naomba msaada ya website ambazo unaweza order online vitu kama digital dictionary na wakafanya delivery in secure way kupitia DHL au EMS..ntashukuru sana kwa msaada wenu
Nimekuwa nikijaribu kila wakati kununua APPL za Bure kutoka Itune store lakini nashindwa.
1.Nilifungaua acc kutoka APPLE lakini ninapotaka ku-Download zile APPL za bure naambiwa acc.yangu mpaka...
Heshima kwenu wakuu,
Naombeni ushauri wenu wana JF mimi ni mlevi wa huu mtandao ninapoukosa kuupitia kila baada ya muda huwa nahisi unyonge,kilichonipata mpaka kuwaomba msaada ni speed ninapoingia...
Internet architecture
Even though the Internet is still a young technology, it's hard to imagine life without it now. Every year, engineers create more devices to integrate with the Internet...
Nokia Mobile Secret Codes
Nokia Asha Secret Codes , learn to Hide secret photos and other useful tricks.
To check the phones Software revision for Nokia Mobile.
On the main screen type *#0000#...
Jamani nahitaji msaada wenu, mimi ni mfanya kazi wa kada ya Information Technology (IT). Natafuta institute au kampuni yoyote ile ndani ya Dar Es Salaam ambapo naweza kupata intense training ya...
Wakuu leo nimekuja na Clip ya sekunde 29 inayo waonyesha Wanasiasa wanao jadiliwa zaidi kupitishwa kuwania Urais mwaka 2015 chini ya Ccm.Lengo langu sio kuhamishia mijadala ya kisiasa ktk jukwaa...
BlackBerry 10 will launch on Jan 30 next year with two new phones
12 NOVEMBER, 2012
After getting delayed, RIM's BlackBerry 10 platform finally has a launch date set. On January 30, RIM will...
habari wadau,
kwa wale wateja wa benki ya NBC tafadhali nenda upesi kacheki salio lako,kwani kuna wizi mno wa pesa.Uchunguzi wa haraka haraka nilioufanya nimebaini wengi waliokumbwa wa zahama hii...
Wadau,
Naomba kwa ambaye ana uzoefu na hawa ZUKU Satelite TV, je wana ubora kiasi gani?
Je huduma zao zinafaa? Je kwa TZ mikoani wanapatikana? Kwa mfano mkoa wa Mbeya.
Kama umejiunga nao...
Hey guyz..najua wengi tupo busy especially sisi wana TECH na science
ok sasa waweza chart na mungu wako hapo hapo kwenye PC yako..huku ukiendelea na kazi zako
jaribu sasa..usidharau press enter...
Wakuu heshima kwenu. Najaribu ku-upload website via FTP client (FlashXP na Filezilla). Baada ya ku-upload nimekwenda phpMyAdmin kushusha tables ili ni upload PLRBoy.sql lakini siioni site yangu...
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde airtel wamerudisha kifurushi(bundle)cha 400m kwa 2500tsh na vifurushi(bundles) vingine vya zamani naomba kuwakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.