Aisee nlikuwa nauliza application gani inaweza nisaidia ili kujaza form nliyodownload (PDF ) kwenye android! Kama unajua na link ya kuidownload naiombeni.naombeni mnisaidie
wadau sincf nmeona kemikali wanazotumia kutengeneza pepsi inadil na science basi nmeuliza hili swal hivi kwa nini pepsi hizi yenye muundo wa chupa mpya zimekua mbaya mpaka basi yani wameongeza...
wanajamvi wenye maujuzi ya haya makitu naomba msaada wa kuiflush hii moderm yangu ya airtel model MF 190 IME 865720018930146 nataka niweza kuitumia na line nyingine msaada wenu wa kuu.
Jamani naombeni msaada projector aina ya sony ukiunganisha kwenye umeme inawaka taa nyekundu tu kwenye switch button na hakuna kitu kinacho endelea,fani hazizunguki pia. Jamani naombeni msaada...
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/=
Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
naombeni msaada wenu wakuu nataka niitumie simu yangu kama modem kwenye computer nifanyaje sasa nikishaikonect na usb cable? je kunatakiwa pc suite ya samsung?
nashukuru sana
2006-06-29 09:47:35
By David Stanley
Many of us are not aware of the different specialties in IT. We believe an IT person can do anything from fixing a computer to fixing a network system. Our...
Microsoft wanaiua MSN Messenger ambayo ndo instant massaging inayotumika kuliko zote duniani, watumiaji wa MSN wanaweza kulogin kwenye Skype na contacts zao zote watazikuta huko.
Microsoft and...
There was a time in Africa to speak about Open governance and leaders' abuse of power was a crime. Listening to my father and the way he speaks about the ruling system in 60's, 70's and 80's you...
Web security Training by TWIGA HOSTING LTD *Please forward to your friends*
Do you know 80% of websites and web applications can be hacked?
Do you know security holes that exist in your...
Tanzania ni nchi yenye madini karibu yote lakini tatizo ni ukosefu wa teknologia inayoweza kutumika katika kupima,kugundua na kuchimba madini hayo.kutokana na hali hiyo unakuta wananchi wakihisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.