Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
haya wale wa photoshop, unaweza guess nimetumia masaa mangapi kutengeneza hii from scratch download psd hapa
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani hii simu haiwaki kabisa yani ukiwasha inaonesha tu mwanga afu inazima ukiweka charger haisomi kabisa, Naombeni msaada wenu ila msije na msaada kama nliopata kwenye hii video kwenye pitapita...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wandugu! siku za nyuma kidogo tulikuwa tunapata ile channel inaitwa MSNBC,yaani ile channel ni kiboko kwa mambo yao na vipindi vyao,kwa mtazamo wangu inaweza ikawa inaongoza dunia kwa ubora,Leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali naomba maelekezo jinsi ya ku-Install microsoft office 2007 kwenye UBUNTU
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Removing background from any image can be hard and time consuming, but the purpose can have infinite possibilities. In this Photoshop Tutorial we will discover how it can be done, using lasso...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
jamani naomba kujuzwa hv nokia asha 303 ina support whatsapp
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF, Naomba kujua ni jinsi gani unaweza kutuma conversation nzima ya whatsapp(nikimaanisha thread nzima sio message moja moja) kwa mtumiaji mwingine wa whatsapp..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa naombeni msaada nokia yangu e-63 inanisumbua kuima na kuwaka mara kwa mara
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Kwa yule anayejua link,msaada tafadhali,nimejaribu ku-google mpaka nimechoka.Kiufupi nahitaji mobile phone number locator software/application.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana nimejaribu mara nyingi ku un-install IDM lakini nahisi huwa haiondoki moja kwa moja kwani mara tu ninapo Install tena huwa inaendelea kuonyesha siku zile zilizobaki kufikia mwisho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How are you doing wakuu? The above tittle is concerned, nina some programs ambazo hazikubali kuwa uninstalled kwa njia ya kawaida yaani zina leta uninstallation error! So, nisaidieni best...
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Nahitaji kwa mtu mwenye program inayoweza ku-crack files zilizokuwa protedted na password za .zip or .rar anisaidie aukama ana password ya Winrar_Pwd_Hacker_v6 program
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wadau mwenye link ninayoweza kupata wimbo huo wa zaidi ya watu bilioni sita kuiamini afrika aweke hapa jamani tupate kuudownload maana mi nauzimia sana.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nina mambo mawili hapa: 1. Nina mjomba wangu mmoja hapa dar ana guest house yake ina rooms kama 20 hivi na anataka kufunga simu kila chumba zile zisizo hela (vocha) ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa namna ya kubadilisha blog yangu kutoka www.(name).blogspot.com kwenda www.(name)blog.com kama ilivyo kwa blog kama ya mjengwa. inafunguka kwa Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu muda mrefu nimeshindwa kupata access ya jf forum karibia mwezi na wiki sasa,vip kuna tatizo gani,nimejaribu mitandao yote ya simu imeshindikana.nikijaribu ina load mud mrefu sana halafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hopefull u guys u all doing great this time ua reading this thread,sorry i have this problem of how i can remove WRITE PROTECTION to my flash disk coz it lead to malfunction when am pasting any...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
nina laptop ya dell latitude E6420 ambayo inatoa sauti ktk headphones pekee lakini speaker za nje hazitoi haina warranty, kama kuna anaejua kutatua tatizo hilo naomba anisaidie nifanyeje niko dsm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
INTErnet download manager has not been registered for 30 days trial period is over. tatizo ni kwamba nikianza kuregister inaniambia enter serial number lakini tatizo hizo serial namba ni zipi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom