Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
tecno t411 inazingua kusoma lyn no2 haiandk chochote lyn yoyote nikiweka ghafla2 nimeset dual sim ila wapi! mwenyekujua tatzo na solution plz help me
0 Reactions
1 Replies
1K Views
thank you to Mwali kwa kutumia avatar yako na kwa C6 kwa ushauri wako Airtel Sim Package Card made from scratch kwa kutumia photoshop
13 Reactions
49 Replies
10K Views
Anatafutwa mtu anayeweza ku-design MOBILE APPLICATION. Wasiliana kwa namba hii 0715-813505 au atume CV kwenye honorizi@gmail.com. Kama una uwezo huo nafasi ya kazi hii hapa..!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nina nongwa ya ki tech, ambayo maelezo yake ni kama ifuatavyo: Nilikuwa natumia Win XP ikaleta matatizo ambayo naamini yalitokana na virus kwamba short cut zote zilitoweka kwenye desktop...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman saidia steps to unsubscribe from tgo xtreme pack, kile kifurush cha sms 100, airtime, mb kadhaa?
0 Reactions
3 Replies
906 Views
simu yangu inaitwa android tu ndefu hivi kama mnazijua sasa sijui wana connect vp net nikijaribu inakataaa na apn nimeweka internet help bila modem au kamaa mnaweza hata na modem njia zote mbili
0 Reactions
0 Replies
678 Views
habar za saiz wadau,ebana naomben mnisaidie,nilikua na install dreamweaver ikagoma cjui kuna app(s) gan zinatakiwa ziwe installed kabla ya ADW(adobe dreamweaver),nimepakua free trial kutoka <a...
0 Reactions
3 Replies
613 Views
Mwenye maujanja tafadhali naomba anipe jinsi ya ku bypass kwenye cyberoam. thnks
1 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570 msaada wenu plz.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
jamani msaada naomba kuuliza, Mimi nipo dunia ya mwisho sina chochote nnachosikia, ila nimesikia kama kuna sim card za airtel znajulikana kama Boom club, ambayo unaweza kuzungumza na mtu kwa 500...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Inakuaje WANAJUKWAA wa Tech, Gadgets & Science Forum? LEO Katika pitapita zangu, nimeona ni vizuri tukajikumbusha kidogo kuhusu TPB coz SHARING IS CARING! Ki ukweli tumetoka mbali na bado...
1 Reactions
0 Replies
986 Views
Wakuu hzi modem zenye cdma tech(ttcl na zantel) zinawezekana chakachulika zikatumia lain zote?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza spreadsheet kwa ajili ya kucontrol bar or grocery,mfano bia,soda na vinywaji vyote vinavyopatikana tz,kwa kuzingatia standard za hapa bongo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hv peers na seeds ni nini ktk ku download na vina msaada wowote?
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Wadau ninaomba mnisaidie free techniques/softwareS za ku-unlock(kuifungua) hii simu yangu Manufacturer: HUAWEI MODEL : U8650 Imefungwa: Tigo Tanzania Naombeni sana msaada wenu wadau wenzangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mliwahi kuangalia Movie ya Tron Leagcy ya mwaka 2010 nadhani mtakuwa mnaikumbuka hii ambayo ilitumika katika hii movie, pikipiki ambayo inajulikana kwa jina maarufu la Tron Light...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Version's of windows 8: Windows 8 x86 Windows 8 N x86 Windows 8 Pro x86 Windows 8 Pro VL x86 Windows 8 Pro N x86 Windows 8 Pro with Media Center x86 Windows 8 Enterprise x86 Windows 8 Enterprise N...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
wadau habari zenu. Natumia laptop ya dell atg. Search engine zipo explorer na mozilla. Tatizo la explorer ni kuwa iko slow so muda mwingi natumia mozilla ambayo iko fasta ikiamua. Natumia pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
When I got a new system it was very good and working smooth as the time passed the system turned to snail. It takes much time then usual then I performed some checks and speed up my system. Just...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za J pili wana JF. Natumia Nokia C5-00. Kuna mtu alikuwa anachezea simu yangu, sijui amegusa wapi akawasha torch ambayo hutumika pia kama flash ya camera. Nimejaribu kuiswitch off...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom