Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu sorry, hivi nakoseaga kusoma ni 4.1mpx au serious 41? Nadhani hii ndio simu yenye camera yenye mpx kubwa kuliko zote ulimwenguni! Mpx 41 mmh.. smartphone nyingi zikijitahidi saaaana zina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba kuuliza je hii cm inasupport whatsapp?
0 Reactions
0 Replies
624 Views
naomba kujulishwa jinsi ya kuatachi picture kwenye maelezo thred yangu,,mfano kutoa kwenye desktop,my docment ,n my computer..natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NANI ZAIDI? HEBU SOMA HII....... First iPad mini teardown reveals Samsung display - Yahoo! News
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nimeokota moderm ya zantel lakini ni zile ambazo hazitumii line na sina cdma number ya modern hii vp naweza vp hili niweze kutumia ata kwa kutumia line yangu ya zantel kui recharge
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Laptop toshiba imeandikwa approved for sales in Africa.Mtu kaumizwa au laa
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau wa tek Salaaaam Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo. Tatizo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nahitaji website ambayo unaweza ukadownload full movie
0 Reactions
0 Replies
616 Views
niaje wakuu? leo nawaletea haka ka software kapo interesting kwa maswala ya security. ni kasoftware kadogo2 kanachofanya kazi ya kuprotect laptop yako kwakuilock screen. kwa wakuu wenye android...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
jamani nataka kujua bei ya samsung galaxy pocket s3500
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa nina simu yangu ya Huawei u8650 zile za tigo. Lakini juzi kwa bahati mbaya nikaidondosha ikaland kwenye screen na ikatokea crack upande wakushoto kwenda kulia chini ..na crack yenyewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
idm
wana jf yeyote mwenye internet download manager yenye kii anisaidie.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa jinsi nnavoweza kuunganisha laptop yangu HP 630 na flat screen ya LG CS41 series ili niweze kuwa na dispay kubwa
0 Reactions
2 Replies
783 Views
You can increase your computing efficiency and gain more enjoyment out of using your PC by applying some simple computing tips like those listed below. Unless specifically noted, these tips are...
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Wanajamvi kwanza kabisa natoa salamu. Nimekuwa nikitumia simu yangu km miezi 9 bila matatizo lkn juzi imepoteza settings zote upande wa phone memory. kwa hiyo siwezi kupata huduma za web...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa la Technologia,kuna jambo ambalo sijalipenda kuhusu mtandao wa tigo kwa sasa.Kutokana na eneo nililopo voda inasumbua nikaamua kujiunga tigo of course kwa muda tu. Tatizo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
ZoneAlarm, Comodo na ambazo mimi sizijui. Ni ipi iliyo nzuri kwa wale waliokwisha kuzitumia ikiwa ni pamoja na kunasa haraka viruses na pia booting system time. Karibuni jamani tupeane uzoefu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mwenye kujua program ya ku - compree file kwa kiwango cha juu sana anisaidie. Nataka kutuma file lakini siwezi kuli - upload kwani ni kubwa sana. Majuzi nimeshindwa hata kucompress file la...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
wakuu nililipia internet ya vodacom.. Unlimited ile ya elfu 30, nimetumia kwa wiki moja tu naona haifanyi kazi inakataa kuunga toka jana, wakati inatakiwa iishe baada ya mwezi mmoja. So wadau...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
naombeni mnisaidie hapa. Je ni antivirus gan nzuri kwa simu yangu? Natumia Samsung Galaxy Pocket. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom