Membaz hope mko ok kabisa poleni na Mambo ya NSSF na SSRA ......
I Need to own my fashions blog naombeni msaada wa wapi nianzie....Natanguliza shukrani...
Sorry wakuu. Hapa shuleni nahisi wamefungia baadhi ya websites. Walianza na facebook, ila watu wamepata njia ya kufanya ili kuingiza. Wanatumia secure browser. Yaani oale penye http: **** wana...
Wadau juzi nilisoma tangazo hili hapo juu yalipo matangazo ya dume na bank kwa sasa, naomba mnikumbushe hawa jamaa duka lao liko jengo gani? sikumbuki vzr kama ni kariakoo, au plaza gani posta...
kwa wale watabe wa xhtml html na php mnisaidie: what follows in here <!DOCTYPE html ....//......//>:Assume your writing a .php file code to be run by browser.CONCEPT:xtml and meta data.thanx
Heshima mbele wadau,
Ni mwezi wa 7 sasa tangu ninunue king'amuzi cha startimes, lakini ni mwezi mmoja tu ndo nimeweza kulipia.
Gharama zake kweli mi zimenishinda ila kukitumia napenda hivi...
Wakuu nahitaji kununua NOKIA N8,ila kwa bahati mbaya mimi sio mzoefu wa mambo haya. Sasa naomba msaada wa kujua bei yake ikoje hapa bongo pamoja na ubora wake.
Msaada tafadhali.
habari ya asubuhi wana jf,nilikua nataka kutoa usb cable kwa pc yangu kutumia ile safe remove of device,sasa nikaclick kitu kingne nika kiremove,kuja kuangalia kwenye my computer kumbe nimeremove...
Kila mtu ana jambo jema ambalo JF imememsaidia kwa namna moja ama nyingine.Kwa upande wangu nimefaidika mengi na mtandao huu.Leo narudisha shukrani kwa kuitengeneza video clip ya sekunde 10 ikiwa...
NAomba sana msaada wenu jamani ni vipi ninaweza kusearch nkapata topic ya nyuma maaana nahangaika natafuta IDM hapa yangu imekufa na nkipost kuomba upya watu wataniona mzinguaji maana najua post...
Kwa dar kuna maduka meni yanayo uza computer mpya/used kwa kariakoo karibu kila mtaa unaduka la computer, kwa yeyote anae fahamu duka linalo uza used computer kwa bei nafuu kuliko yote basi...
New iPhone 4S from uk is for sale, and a used iPhone 4S that is still in good condition ,they are all 32GB,with IOS 5, price negotiable just dial 0752033874! And you can Instagram all the way..
guys nacheki uzinduzi wa windows phone 8 hapa na kuna vitu nanote vipya vinanvyovutia
live wallpaper
hii ni app unayoiseti kama wallpaper then hio wallapaper inakua live. mfano mimi napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.