Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nimeunganisha internet mpaka kwenye modem na kutoka kwenye modem kwenda kwenye server alafu baadaye ikatoka kwenye server kuja kwenye switch ila tatizo linakuja client anapata access ya database...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
WAKUU KUNA KITU NIMEGUNDUA NILIKUWA NATUMIA MODEM YA airtel aina ya ZTE MODEL MF190 AMBAYO NIMEINSTALL SOFTWHERE YAKE VIZURI TU.PIA NINA MODEM YA VODA AINA YA VODAFONE K-3570 UNLOCKED AMBAYO NAYO...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mi niko mbali sana na ofisi za tigo,Nimejitahd kupiga huduma kwa wateja lkn sijapata ufumbuzi, KWA YYT ATAKAYEWEZA KUNITAFTIA NAMSHUKURU SANA.kwa niaba ya mwenye no.wenu KIMA MDOGO
0 Reactions
2 Replies
950 Views
aje wadau?? Nisaidieni plz,nahitaji sound drivers za Toshiba satellite M105-S3064,nime google hadi nahisi kuchoka,mwenyw kuweza nipatia direct download,natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
769 Views
msaada wa black berry9300 inazingua kufungua camera'ina sema close some application'
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, nina shida imenitokea siku ya tatu sasa, kila niki 'log in' email yangu (yahoo)inaniambia 'wrong password' ingawa 'password' yenyewe ndio nimekuwa nikiitumia wakati wote. Ilianza tatizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaaam wakuu, Kuna promotion inayotolewa na voda ambapo ukijiunga unatozwa sh 76 na unajiunga kwa kubonyeza *801*01*07*****# Kuna rafiki yangu anaifaidi kila siku hii ofa lakini kwa upande wangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu leo tutacheki jinsi ya kubypass hii kitu, Kuna njia nyingi zipo zinazo semekana zinakubali but nyingi huwa ni ngumu/hazifanyi kazi na kwa XP kuna ile trick ya safe mode(ambapo only...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Sorry kwa yoyote anaeweza nipa details kidogo za hii uduma ya tigo, kuuza hizo cards kwa 30,000 na kuweza kupata ofa ya internet, sms n calls katika smartphone yako. Hivi vitu ni unlimited? Kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba maelekezo jinsi ya kuset facebook page iwe kwenye desktop view kwenye simu ya android E400. Kuna siku sijui ilijiset yenyewe....ilikuwa poa sana. Najaribu kutafuta sehemu yenye hiyo option...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika account yangu ya Benk nilikuwa na salio pesa za kutosha tu,sasa tarehe 5 mwezi huu yaani jana nilienda ku-draw some cash nikakuta sina Salio la kutosha kabisa na ukizingatia kadi yangu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sawa ni simu ya ki-china aina ya TECNO T1 ANDROID,nimeinunua katika hali nzuri tu,ina support internet na GPS vizuri sana lakini jana nilii-switch off then nikaitupia charge.Sasa leo nimeiturn on...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
naomba nsaada wa passkey ya modem IMEI:861737007221364 S/N:e9p7sa1270500643
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tahadhari hii nimeikuta FB, nikaona itakuwa vyema nami niwashirikishe na wenzangu katika jamvi hili kama mtakuwa hamjakutana nayo; "Jaman kuna wizi umeingia kwenye mtandao wa vodacom kupitia...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
The Samsung Galaxy Camera drew a lot of attention when it was announced though launch date and pricing details were a bit slim. Samsung put out a press release today, saying the camera will be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni msaada jamani ni vp nnaweza kudownload radio application ili nipate local channels, nimejaribu tunein imenigomea. Siku njema
0 Reactions
1 Replies
854 Views
wakuu habar,naomba msaada wa jns ya kuaccess radio kwenye hii simu imenshnda
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Wakuu naomba msaada, nina kasim Ideos lakini kana maandishi with googleTM, android version 2.3.7, ni touch screen. Sasa nimeweka line ya voda na nikajaribu kuunga internet kwa kutuma neno internet...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu ni simu gani nzuri kwa masuala ya business? Je ni Blackberry bold 4 Au ni samsung galaxy S3 Au ni iphone 4s na 5 Na hapa nazungumzia mazingira ya Tanzania na biashara yenyewe ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni karibia tarehe 23 mwezi huu jolla watazindua sailfish yao os itakayokuja kushindana na windows phone, android na ios. Its sad ukiskia story yao hawa jamaa walikua waajiriwa wa nokia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom