Kuna fomu natakiwa kujaza then niitume kwa email,
iko kwenye pdf format ,nashindwa kuijaza ikiwa ktk software,
je napaswa kuiprint then niijaze halafu niiscan ndo niisend au inawezekana kuijaza...
kuna kipindi nilishawahi kusikia kuwa ukimpata mtu anayefanya kazi kwenye mitandao ya simu aliyepo kwenye kitengo ku-operate sim unaweza ukapewa sms zote ambazo mtu anawasiliana na mtu mwingine...
naomben msaada wana jamvi...nina iphone yangu 3gs mara ya mwisho ilizima ikadai chaji imeisha ..cha kushangaza nilpo ipachika kwny chaji ili vibrate tu na wala haioneshi chochote nikacharibu...
Cha msingi uwe na CD ya hiyo simu, install ktk computer yako then I plug halafu ktk menu ya desktop application kwenye tools kuna option ya "connect internet by using smartphone" select hiyo then...
kuna tablet hapa operation system ni android sasa mimi mgeni kwenye mambo hayo nashindwa tumia internet kwenye moderm nikiweka line ya tigo network haisomi nikiweka ya voda network inasoma lakini...
Wanabodi,
Juzi usiku nikiwa bar fulani maarufu karibu na Mlimani City, jamaa aliniafuata mezani na kuniambia kuna mzigo wa I Phone 5 pieces 2, na I Phone 4s pieces 3 umeibwa Mlimani City!, na...
jiunge na vodacom wajanja 9t kwa 200 ingia google then search hii 'Watch 1 vs 2 live
stream free ronaldo7.net' kwenye 1 vs 2 weka timu zinazocheza mfano 'Watch Anzhi vs Liverpool live
stream...
nimeandka php script kwa ajil ya kukonect na ku query kwny database ila niki run kweny browser ina be displayed km ilvyo, sasa sielew kuna tatizo gan(script ni full php in <? ?>...
wadau nisaidien,nilikua nina conect kwenye phpadmin ku create database nikapata mesej hii hapa
Access forbidden!
You don't have permission to access the requested directory. There is either no...
Habari zenu wakuu,eti ukijiregister ebay pale kwenye "Postal code" unajaza nini,nataka nijue unajaza P.O.Box au kitu gani kingine....Thanks in advance.
windows yangu ni WINDOWS XP PROFFESIONAL SP3 KUNA SMS INASEMA *YOU MAY BE VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING* THIS COPY OF WINDOWS DID NOT PASS GENUINE WINDOWS VALIDATTION
MSAADA JAMANI NIFANYE...
Kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii course ninaomba anisaidie kunijuza mambo mawili matatu. Ni wapi wanaifundisha vizuri? Ipo applicable hapa Tanzania? Ni cheti kinachojitegemea au ni...
Wakuu email yangu imejibadilisha password ghala,
Najaribu kuirejesha naambiwa ni andike email niliyotumia kama kama mbadala alternative email au yale maswali niliyojibu siku naifungua
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.