Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana wa jf habari za kazi natumai hamjambo.Tafadhalini naombeni msaada wenu modem yangu ya voda inagoma kuwa installed kila ninapojaribu kuinstall ujumbe huu unatokea INSTALLSHIELD Kisha...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
naomba msaada wenu kama kuna mtu mwenye link itayoniwezesha kudownload microsoft wors 2007 for free anipe hapa jamani niishushe
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Kwa wazoefu wa smart phone naomba mnifahamishe ni smart phone ipi yenye betri imara kwa kuwa nyingi zimekuwa zikiwahi kuishiwa betri hasa ukitumia internet. Nitashukuru kama nitafamishwa na bei.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wanandugu za weekend. naomba mnisaidie kitu hiki. nataka kuwa na simple database or excel sheet ambayo nitakuwa naweka kumbukumbu ya manununuzi na mauzo ya cosmetic produts. parameters...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau Kuuliza si Ujinga!!!!! Nina swali dogo la kijinga ila ni la msingi katika technologia ya sasa. Naomba kuuliza sms tunzazo delete kwenye simu, computer na kwenye Receycle bin zetu huwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
nokia naona imekua charity company sasa wamepatner na mozilla wametengeneza map itaitwa "HERE" hizo map zitakua ni cross platform yaani zitapatikana pia android na ios. Pia nokia wameinunua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Internet Explorer 10 ambayo ilikuwa inapatiikana kwa Windows 8 tu leo imetolewa kwa ajili ya Windows 7 nenda Download Internet Explorer 10 Release Preview kudownload.
4 Reactions
13 Replies
1K Views
wadau npo atown natafuta laptop yenye bei nzur yan nataka iwe ina at least nvidia au amd graphics video card
0 Reactions
1 Replies
890 Views
wanajamvi naomba kuuliza kwa mtu ambae amesoma computer science na IT ni kaz gani ambayo anaweza kujiajiri mwenyewe ili aweze kupata kipato??
0 Reactions
5 Replies
6K Views
1)Download hiyo software.. 2)then uzip,run hiyo activator as admin 3)Click Windows 8 Install/Uninstall 4)subiri hadi ijirestart then tayari kitu kiko activated!!!!!!!! Nb:ukitaka kupersonalize...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
mke wangu alipoteza simu yake ambayo alikuwa ameset IMEI notification kila ukibadili line, sasa jamaa alieiokota hajui nini kinaendelea na kwakua sitaki kumfuatilia kuogopa kupoteza muda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
By Gustav Sandstrom Finland's Nokia Corp. (NOK) slipped to the seventh position in the global smartphone market in the third quarter, as global sales of mobile handsets fell slightly from a year...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamvi, I was thinking that we real need to have center for new technologies or emerging technologies here in Tanzania. Nimejaribu kuangalia kwa nchi kama Kenya, Cameroon, Nigeria Ghana na...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Niko katika mchakato wa manunuzi ya digital camera, aina ya Sony Cybershot. Lengo likiwa ni kupata bidhaa halisi(Original). Kutokana na kuwepo bidhaa fake za electronics, Napata shida sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naulizia bei ya windows 8 genuine wakuu
0 Reactions
2 Replies
793 Views
wadau najua mshanielewd nina ipad 3 nyuma imeandikwa toshba sasa nachtaka kujua ni sehemu ya kuweka line coz nimeskia kuna ujanja wa kukata line na kuweka na inapiga kazi sasa mimi nimeangaika bjona
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Natafuta ipad 3 ya 64gb yenye wifi na 4g. Mwenye nayo anipm
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Wakuu naomba mwenye info wapi naweza piga kozi ya GRAPHIC & DESIGN kwa mda wa jioni saa 1 na kuendelea mda huo utanifaa sana coz huwa natoka kibaruani saa 11 wakuu nimejaribu kuulizia pale UCC...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Kama una BlackBerry® 6 OS na kuendelea unaweza kudownload update ya BBM ambayo itakuruhusu kuongea na wenye BBM wengine kama vile Skype inavyofanya. Ni kwa kutumia WiFi tu, so 3G haikubali...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Back
Top Bottom