Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
http//msdn.microsoft.com/en-us/library/windows/hardware/ff545499(v=vs.85).aspx
0 Reactions
0 Replies
684 Views
La pili, unafanyaje kunukuu post zaidi ya moja? Nadhani nimeeleweka! Natanguliza shukrani!
1 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu mwenzenu nilikuwa síijuwi Google Original ila leo nimeijuwa ni hiyo hapo: Google! Search Engine
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidieni nimeweka windows 8 ila nikitaka kurun karspersky yangu niliyokuwa natumia kwenye windows 7 inakataa na kunipa message inayosema kuwa the program has some compatibility...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau anayejua mahali naweza kupata betri ya laptop aina ya lenovo g450 anielekeze maana yangu imeshaanza kuchoka nashukuru kwa atayenisaidia.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Wakuu nawasalimu. Naomba mnisaidie kujua hili: Nipo Hong Kong nimependa Android Tablet pc moja inayo support phone call. kinachonichanganya ni katika specification zake imeandikwa ina support 2G...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
nimepitia thread kazaa lkn link nilizoziona niza magnet ambazo kidogo ni juu ya uwezo wangu na hazikuweza kufunguka,,,baada ya kusema hayo basi naomba mwenye hiyo link ya ku-free download...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu, naomba kufahamishwa kumfungia mtu kwenye tigo (block, call&sms) kwa mtu mmoja tu. .....
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Nisaidieni Dell Optiplex GX260 series Processor 2.6 Ghz 768 Ram umeme ukiwa mdogo inazimika na kuanza kuRestart mpaka umeme utakapoongezeka lakini desktop zingine mzigo kama kawa hata kama umeme...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Msaada jinsi ya kuondoa phone track kwenye simu aina ya IPHONE.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kama huwajui anonymous ni hacker wasiojulikana ambao ni maarufu duniani na wametokea kupata fans wengi. Wana folower 680,000. Kama mpo aware now israel anaishambulia palestine pamoja na mauaji...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Smartphones: All phones by Manufacturer: Pamoja na hayo Android pia inamiliki asilimia 90 ya soko la China, soko kubwa kuliko yote la smartphones duniani, Android inatisha...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Za saa hizi wakuu. Yaani leo nimetoboa usiku kucha kutaka kujaribu kutatua tatizo la desktop yangu DELL inrun win7 home X32, lakini imeshindikana. Ishu ni kama ifuatavyo; Ghafla bin vuu, computer...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipa original keys za Microsoft Office 2010 afanye hivyo. Nategemea msaada wako.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Almost 2 days now my funbook tab inashindwa kuingia kwenye android market.. Nimejarib kulog in again and again with my gmail account nayo inagoma ku log in kabisa...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Wakuu ni njia gani naweza kutumia kulipia DSTV zaidi yakwenda of zao
0 Reactions
1 Replies
32K Views
Nimeona tangazo kwamba sasa dw tv inapatikana.naomba msaada jinsi ya kuipata hiyo tv.receiver yangu ni strong SRT 4622X.Frequency ninazo ila sijafahamu ku nitaiweka upande gani wa dish,na kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wajameni naomba msaada wa kujua namba ya simu yangu ya voda niliyoichukua tangu mwezi wa nane au tisa kwa ajili ya internet, ila sikuitumia. Sasa nataka nianze nayo lakini sijui namba yenyewe ili...
0 Reactions
17 Replies
33K Views
NNA MASWALI MAWILI 1. unawezaje kutofautisha hard drive ya SATA na IDE? (KWA KUANGALIA TU) 2. UNAWEZAJE KUTOFAUTISHA MEMORY YA DDR1, DDR2M NA DDR3
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Vodafone AppStar ambayo ni mashindano ya kutengeneza mobile App yanayoshirikisha Egypt, Lesotho, South Africa,Qatar,Kenya & Tanzania. Vodafone Developer : AppStar Washindi wa Kenya wametangazwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom