Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.
Rwanda has the fastest broadband Internet in Africa, according to latest statistics from Ookla's NetIndex, overtaking Ghana.
The latest broadband speed results, show that Rwanda currently has...
kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali
leo nokia...
Wataalam au yeyote anaeweza kunisaidia Niko Nairobi University naomba link ili niweze kudownload hii software ya MATLAB kwani kila link ninayojaribu ikonashida.
tujadili uzuri au ubaya wa mobile browsers tunazotumia au tunazozipenda, haijalishi ni java, android, ios, etc. hii itasaidia wadau wasio wazoefu waweze kuchagua browser itakayowafaa kwa matumizi...
Jama kuna kipind niliiona mdau mmoja anaongelea kuwa kuna ishu ya kuishusha chini page ambayo huitumii kwenye sim yani kama kwenye computer ile kufungua page nying na kuzishusha(ni matumain yangu...
Wanajf wenzangu naombeni msaada kwa wataalamu waliokwishaitumia au wanaofahamu jinsi ya kuifanyia installation kuanzia kwenye antena configulation maana ukitumia frq hizi tunazozitumia kwenye hizi...
Natumia simu taja hapo juu kwa muda mrefu sana lakini hivi karibu imeleta shida kwenye Internet,mwanzoni nilidownload opera mini niliyokuwa naitumia sana.Hivi karibuni imekuwa tabu kila ninapotaka...
Wandugu natumaini wote wazima wa afya .
ndugu zangu wataalamu wa naombeni msaada juu ya kuondoa hili tatizo kwenye my blog ,kwakifupi hii blog alinitengenezea rafiki yangu ambaye ni ADMIN wa...
Natumia opera min...Lakini kila niki-log in jf jukwaa la siasa page inajirudia ileile yaani mada za juzi ndio zinapatikana. majukwaa mengine yanapatikana vizuri tu..!!!
Habari wadau,nina simu yangu blackberry curve haisomi memory card,nahofia kushirikisha mafundi wa mtaani so nimeona nilete kwa great thinkers,inakuaje hapa?
Sent from my BlackBerry 8520 using...
Hallow ndugu zangu, ninataka kufanya Unit testing kwenye application ninayodevelop, sasa ili niweze kuaccomplish iyo kitu natakiwa niwe na PHPUnit ambayo inatakiwa niexecute file la pear.bat...
Wataalamu wenzangu, msaada wa mawazo ya kiufundi.
Nina PC Dell Optiplex GX 270, haioneshi CD drive ambayo imekuwa installed. CD rom inapata power kama kawaida, kwa maana ya kwamba inaingiza na...
habari wanajamvi, mimi nina simu ya kichina imeandikwa samsung,ni screen touch na unapoiwasha au kuizima inaleta animated word SMTEL. Hii simu nilifanikiwa kuiunganishia internet za zantel,vodacom...
wadau kwema??
natumia sony VGN-CR220E, Tatizo lake huja pale napotaka ku instal/repair window, yani haisomi kabisa ila CD zingine za DVD zinasoma kama kawa, na hata CD za kawaida zinasoma,that...
Pieces of Einstein's Brain Go On Display For First Time
Stephanie Pappas, LiveScience Senior Writer
Date: 23 November 2011 Time: 12:46 PM ET
inShare8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.