Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
if warm air rises and cold air descend, why are mountain-tops cooler than the lowlands?
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba nielekezwe jinsi ya ku delete topic niliyochangia mawazo tafadhali mimi nimeshindwa kujua jinsi ya kufuta.Nitashukuru ndugu zangu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima wakuu nimenunua laptop toshiba nimejaribu kuweka dvd ikaja meseji kuwa hakuna intallation ya DVD compatible decoder i have to install! Nimejaribu kwenye kikass toret nimeshindwa. Msaada...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Hizi ni chache tu kati ya ninazozikumbuka zimetengenezwa kwa joomla, zikiwa na poor design na zaidi ya mbili kutumia the same theme (japo haikatazwi) lakini ni vizuri kua serious na kua wabunifu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu tunaweza kudownload latest movies, za hollywood na bollywood kwa link hii chini Mobile Movies Pamoja
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka nianze kusoma programming but sijui nianze na which language kama python java c obj-c c++ php cobal etc Please i need ur advice nataka nisome tu ili nipate more job opportunities mbele JST...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hello! Natumia IBM thinkpad tangu nimepadilisha os inanisumbua sana kwenye drives zake hasa za usb port. Ndugu kama kuna mtu yeyote unjua njia rahisi ya kupata plz plz. Thank nawakilisha.
0 Reactions
2 Replies
798 Views
plz naomba mwenye kujua bei ya galaxy beam anijulishe.. Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
0 Reactions
0 Replies
731 Views
JOHN MCAFEE Jeff WiseExclusive: John McAfee Wanted for Murder (Updated) Antivirus pioneer John McAfee is on the run from murder charges, Belize police say. According to Marco Vidal, head of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa kiufundi jamaa kaangusha pc yake aina nimeweka hapo juu imekata display inaonesha mistari tu baaada ya kuiangusha. sasa inaweza kutengenezwa au mpaka display ibadilishwe?
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Wadau, binafsi napata wakati mgumu sana kuupload picha(attachments). Natumia UC BROWSER na OPERAMINI, zote nikijaribu kutumia zinajibu UPLOAD ERRORS.. NAOMBENI MSAADA WENU NATUMIA MOBILE PHONE
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu? nimenunua photocopy mashine ya Nashuatec DSM620 tatizo nimeshindwa kujua inatumia Cartridge/Toner namba gapi, hivyo nimeshindwa kuitumia kwa kutokujua namba sahihi ya Toner...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Jaman wana JF naomba msaada nieleweshwe kuhusu matumizi ya viber, sms bure,unapiga simu bure lakini kunakuwa na mwangwi ambapo mtu unaezungumza na anakusikia baada ya sekunde chache tofauti na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf memory card yngu inaandika unformated kwenye sim yangu sim nyingine haisomi nikitaka kuformat inaandika operation fail nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wana Jf. Kama tujuavyo tarehe 31 Dec is around the corner. Tumekuwa tukiwasikia mamlaka ya Teknolojia na mawasiliano wakitoa vitisho vyao vya kuhama kutoka analojia kwenda digital. Na kwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Natumia dishi kupata hizi local channels za hapa tanzania ila tatzo kila ikifika sambili usike picha znaanza kuganda au kukata kabisa nimehangaika ila cjapata mafanikio, tatzo laweza kuwa nini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mwenye Adobe CS5/6 anipm. Nipo Dar...yeyote itafaa windows au mac.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwenye application yangu kuna part moja inatumia post() method ya xmlhttpRequest object kutuma request kwenda kwa server. Nikitest katika localhost (eg. http://localhost/mysite/index.aspx)...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Habari za kazi wanafamilia wa jamii forums,nimenunua simu tajwa hapo juu,tatizo ni namna ya kujiunga na internet!msaada wenu ndugu zangu ,najua wengi wenu mantumia simu tajwa hapo juu ku access...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Greyfade Company Ltd is organizing one week training to equip participants with the skills, knowledge and techniques of designing, developing and maintaining good websites without even being...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom