Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
A diamond bigger than Earth?By Chris Wickham | Reuters – Sun, Oct 21, 2012 Email Share Share3 Print Enlarge PhotoReuters/Reuters - This NASA handout artist's rendition shows the planet...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Jamani naombeni kwa anaye fahamu makato ya tanesco kwa unit inakuwaje? hii ni kwa domestic user.
0 Reactions
1 Replies
854 Views
  • Poll Poll
wadau project tittle yngu imekataliwa(internet based e-voting system) ss nashindwa kuelewa nifanye ipi, naombeni mnitupie tittles zinazo base zaidi ktk network, nasoma computer eng. and IT finalist
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Natumia window 7 nikifungua game napata hiyo masage nimepambana mpaka nakaribia kunyosha mikono juu msaada unahitajika jamani game lenyewe linaitwa prison.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa epl.. kuna kamdundo kanapiga kwenye background.. daah its simply a stunin beat.. sasa kama unaupenda also nimeamua kushare huo muziki so unaweza ukaudownload: >>>>short...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Nimechanganyamadawa. Nime install window xp truefast wakati wa kuinstall device imekata na skrini ya brue ikatokea yenye cod 0x0000007e nime restart lkn haijakubari nimeweka cd ya wndow xp prof...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
msaada wakuuu,,,nipo chuo fulani ukifungua my computer drive za kuchomeka furashi na CD hazionekani,,,NIFANYE UJANJA gani ili niweze kuzi-display kwenye MY COMPUTER
0 Reactions
2 Replies
794 Views
project tittle yngu imekataliwa washkaj naombeni msaada wenu, naomba unitupie tittle na aim yake ili niweze kusubmitt mapema then nitarud kuja kuomba maujanja zaidi juu ya kuliendesha hili...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Wakuu wa kazi habri, Nahitaji simfatic forms software kwa ajili ya kazi ya kudesign html forms. au kama kuna mbadala wake nijulisheni pia
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Naomba msaada wa kuhack nataka niwe expert upande huo na namna ya ku unhack
0 Reactions
4 Replies
2K Views
· Visitplay.google.com on your computer and login to your account. · Clickon the My Android Apps tab to view the apps installed on your device. · Youwill then see a grid of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naombeon mnijuze jinsi ya kubypass password protected wifi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya mwendo wa kobe kwa mda mrefu, walau leo hata nabrowse kwa speed hii Your line speed: 1478.3 Kbps 181.2 K bytes/sec
1 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu naombeni mnisaidie ni vp ninaweza kuattach softwares ktk email, kwan me nko arusha na nlisahau cd yenye software zangu muhmu dar, sasa naomba mnielekeze hli ili niweze kumuelekeza dogo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau ni jinsi gani nitaweza kuweka avatar humu ndani nimejaribu nimeshindwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I’m writing this post on how to connect your PC or computer to a TV because last week I returned from a trip in India and wanted to show all of my pictures and videos to my family from my laptop...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, naomba msaada wa ku-upgrade window 7, kuto home edition kwenda pro edition. Niliwahi kuiona hiyo thread hapa, lakini leo nimeitafuta bila mafanikio.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naoma kuuliza hapa Dar dealer wa pc za lenovo anapatikana maeneo yapi maana adapter yangu ya lenovo pc imekufa msaada plz!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
guys nipeni updates kugusu haya maujanja ya proxy, nyingi zinakataa now baadhi zinakubali lakini poor perfomance!! Au ndo mdogo mdogo wametufuata na huku kutumaliza kabisa??
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari zenu wandugu wa tknolojia... Naombeni msaada nimelipia domain name kwa godaddy kwa kupitia google apps tatizo ni kwamba hiyo domain name naambiwa ni naked na hitaji kuvisha nguo na pili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom