leo nilikuwa natembelea http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone/iphone4s# na bei nilizo ziona nikacho dolla 199 na iphone s4 n 99$ alafu ni free shipping je ni kwel kama...
Wakuu habari
Hebu tujadilini, ni nani haswa anastahili kua father of physics kwa kuzingatia contributions zao kwenye physics kwa ujumla. Binafsi naamini Newton deserves the title. Kuna...
WADAU NATAKA NITENGENEZE SOFTWARE ZA MAHESABU, TATIZO SIJUI NIANZEJE NA SINA HELA YA KUMPA MTU ANITENGENEZEE SOFTWARE, SO MWENYE UTAALAMU WA KUTENGENEZA SOFTWARE NAOMBA ANISAIDI AU HATA LINK YA...
masaa kadhaa yaliyopita kampuni ya microsoft imetangaza bei ya tablet ya kwanza kabisa kutumia operating system ya windows, bei ni $499 na tayari wameanza kupokea pre orders, haya wapenzi wa...
Wadau hebu nisaidieni, nina Printer yangu aina ya HP DESKJET 3920. Kwa bahati mbaya nimepoteza CD yake hivyo siwezi kuiunganisha na Laptop yangu. Naomba mwenye CD aina hiyo aniuzie au aniazime...
Mabingwa na wataalamu nawaombeni sasa muanze kutushushia sasa shule,darsa,maelezo na maujanja yooote! Kuhusu hivi ving'amuzi vya Matangazo ya Tv. Sisi huku vijijini tunajua tu kuwa ifikapo disemba...
kwa bahati mbaya nilinstall window 7 katika partition yaani hard drive zote mbili.. sasa nataka kuformat local disk c nashindwa... nikiclick format inanambia sorry cant be formatted...(hapo kama...
Nahitaji kununua Laptop, zipo aina mbili Fujitsu Siemens 2gb ram, hard disk320gb na Dell 2gb ram, hard disk150gb. Ipi ni bora zaidi. Natanguliza Shukrani
Wandugu nimeuziwa BB Storm 9530 cha ajabu nimeweka bundle kwaajili ya intaneti web browser ya mtandao nilioweka haitokei,kwa hiyo kushindwa kushadidia(kuupata mtandao) intaneti nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.