Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Astronomers have confirmed the first discovery of an alien planet in our Milky Way that came from another galaxy, they announced today (Nov. 18). The Jupiter-like planet orbits a star that was...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
heshima kwenu wakuu!!!.....naomba msaada wenu kwenye ku-turn iphone 3gs yenye IOS4.1 kwenda IOS4.33...je na nikisha-iturn nitaunlock vipi??
0 Reactions
0 Replies
688 Views
I want to install addional domain with os 2008r2 to an existing server 2003 pdc but whenever i run dc promo i end up in this error. The following error occurred when DNS was queried for the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HELLOW JF MEMBERS,, MWENYE WINDOW 8 PLIIZ NATAKA NIITUPIE KWA MACHINE YANGU, NI DELL INSPIRON M5030, GB320; AMD Athlon II P360 / 2.3 GHz ( Dual-Core ), KAMA UNAYO NI INBOX NIPO DASLAM MJINI.
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Kwenu wataalam wa mambo ya tech, hebu mnisaidie kuhusu namna ya kuiwezesha simu ya kichina ili iweze ku-access internet.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Proof of Moon's Birth in Giant Impact Found in Zinc: StudyBy Jesse Emspak, SPACE.com Contributor | SPACE.com – 13 hrs ago Email 3 Print Related Content Enlarge...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
nijuavyo mimi wachina ni mabingwa kucopy na kupaste katika vitu mbali mbali lakini toka nimeanza kutumia computer os ninayoijua na kuisikia sana ni za microsoft kuanzia window 95-window 8...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Good morning to you all esp. Scientists! Scientists have found an Earth-sized world roughly 25 trillion miles away! Source: Click Me Here!
1 Reactions
1 Replies
772 Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kukonekt internet kwa simu ya samsung t222
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu yangu ni Nokia E52 Smartphone. Nikitumia kuangalia video online au kufanya livesteaming inakuwa inaenda poa bila kukwama, tena kwa laini ya tiGO. Cha ajabu kompyuta inakuwa inakwamakwama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Windows Security Center kwenye PC yangu (HP 620, Win 7 Ultimate, OS 32-bit), CAN'T BE STARTED. Msaada wenu wadau.
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Wadau, naombeni msaada wenu kupata hiyo "key" ili ni activate machine yangu. Aksanteni
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Salama wave aw jf Kwa sababu ya ujio wa cloud computing which makes the use of web developed applications more ideal since they are the one that can be easily deloyed over the Internet, with this...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayefaham software za kuchange sauti when calling. It changes into deep voice, soft voice(woman voice), baby voice, etc. Atupia maujanja hapa faster.
0 Reactions
8 Replies
447 Views
Kuna theories nyingi juu ya utunzaji bora wa battery ya laptop....very often laptop yangu inaniambia fully charged 100% sasa najiuliza nichomoe waya wa power kutoka kwenye main ya umeme? Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nashindwa kuunganisha internet kwenye cm ya VELL-COM C3010
0 Reactions
2 Replies
896 Views
heshima kwenu wakuu.hii pc yangu nashangaa tangu juzi inagoma kabisa kudownload youtube videos,natumia internet download manager,ukianza kudownload kama video ni 23mb,inadownload kama 128kb...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naitaji ku upload picha kaka facebook kwaku2mia cm nokia 5330 ninashndwa nakunipa ujumbe kua your brouser cant upload nifanyeje
0 Reactions
1 Replies
760 Views
wadau naombeni mnisaidie jinsi ya ku activate bundle kwenye modem ya voda hizi mpya za saa hivi. halafu kama kuna msamiria anaweza kunisaidia jinsi ya kuchakachua hiyo modem niweze kutumia line...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
UDA ikiwa na mwekezaji mpya Simon Group, hivi karibuni imeingiza magari mapya 15 aina ya TATA na pembeni kuna nembo ya Marcopolo. sina tatizo na aina ya gari wala nembo, tatizo langu ni muundo wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom