Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
salamu sana wanajamvi.naomba msaada nimeinstall window vista freshi ila aina sound nikicheck driver zipo amna kiulizo ila inaniandikia NO AUDIO OUTPUT DEVICE IS INSTALLED
0 Reactions
4 Replies
667 Views
Naomba tusaidiane kuweka link mbali mbali za TV na Radio on line hapa .ilikutusaidia tulio wengi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam, Wataalamu wa JF. Nina maswali yangu mawili ambayo nimepata kuyauliza huko nyuma lakini sijapata jibu la uhakika ambalo limeniwezesha kupata ufumbuzi wa matatizo yangu. Naombeni msaada...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye unlock code ya modem ya airtel huawei CE 0682
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Swali linasema Hivi Explain the benefit of allowing staff who use the application software at the surgery to be involved in developing some of the features and function of the software...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Je ni utapeli au ni namaba gani hii jamani: +255901000000 imenipigia, hii sio kawaida jamani... Naomba msaada kwa ayejua ni namba gani hii?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ipi ni njia sahihi ya ku-charge simu? yaani inatakiwa u-charge ukiwa umeizima au umeiwasha? na kwenye laptop ni wakati gani inatakiwa kuwa kwenye moto? ni mpaka iishe kabisa au muda wote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu, natumia BB curve, kwenye picha inanipa option ya ku hide picha, tatizo sasa baada ya kuhide sijui zinakuwa zimejificha wapi.....naomba msaada wenu kujuwa wapi naweza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wa kaya habari za mida hii Nimejitahidi kugoogle lakini sikuelewa vizuri japokuwa nimeelewa kuwa hii gharama yake ni nafuu kuliko ile ya kutumia dish mbili kwa network ya ADSL.Naomba kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
habari za asubuhi wan jf leo nimeona tuidiscuss google kwa undani wake kwa maana ya kampuni kwa ujumla nionanvyo mimi baada ya miaka 10 ijayo kama sio mingi oogle watakuwa hawana mpinzani ktk...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
wakuu husika na kichwa cha thread hapo juu, nina laptop aina ya lenovo G450 na niliiformat baada ya kushindwa kubadili lugha toka kichina. Baaada ya kuformat drivers kibao hazijarudi ikiwamo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nisaidieni Wakuu Kwa Yeyote Mwenye Ujuzi,Au Sehemu Ambayo Nawesa Saidiwa!
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Jamani naombeni mnisaidie ni wiki ya pili sasa sipati internet nikitumia line ya voda... Tatizo lenyewe ni kwamba nikichomeka modem,inaconnect vizuri tu lakini nikijaribu kufungua website yoyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Who Is Connected To Wireless Network? When you have wireless router to connect wireless then you must know how many people are connected and using your wireless network as I do keep tab on all...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wadau Niko Dar,Kwa Mtu Yeyote Anaetoa Mafunzo Ya Utengenezaji Wa Beat\Instumental! Je,Ada Ni Bei Gani? AHSANTENI,nasubiri Michango Yenu!!!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
i need to learn archicad and other interior designing software. Anyone can help me in getting a teacher urgently ? Thank you
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wakuu nimejaribu ku-install AVG antivirus kwa laptop yangu.Nimeweka license key lakini katika process ya ku-install naona inaandika copying files since yesterday(tar 12) mpaka hivi sasa(tar 13)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia line ya waridi kwenye cm yangu nipo uganda na nimechoka na kununua bandlez kila cku mwenye maujanja ya kuhaki internet anisaidie,na2mia nokia c2.
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Jama socket switch huwa zinaungua kila nikiweka hita kwajili ya kupasha maji je nifanye nini? Kwa sasa natumia eneo lenye xtension sijaona tatizo bado sijajua kama nayo itakuwa na tatizo! Msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom