Tangu majira ya saa nne ya asubuhi hp A town mawasiliano kwa wenye kutumia mtandao tajwa ni kero tupu.
Je? Ni mimi mwenyewe tu ama tuko wengi!
Huu mtandao umenibo sana leo!
wakubwa zangu na wapa salamu! Nina shida jamani nimenunua AIRTEL modem hzi za huawei E153 tatizo kubwa hapa ni kwamba nikikoconect inakubali fresh kabisa ila internet inasumbua! Kuhusu bundle ipo...
Millions of users bemoan the fact that Windows 8 has done away with the classic Start menu button. Fortunately, theres a way to resurrect a skeletal version of it in Windows 8s Desktop UI by...
Salama wana jamvi? nina simu yangu aina ya NTTdocomo(product ya LG) Android OS inaleta error sms wakati wakuuliza salio,kuingiza salio pamoja na ku-access huduma za pesa za mitandao inasema...
WASHINGTON (AP) - The more we study animals, the less special we seem.
Baboons can distinguish between written words and gibberish. Monkeys seem to be able to do multiplication. Apes can delay...
Hard disk ya IBM 3380 yenye capacity ya 2.5 GB iliyozinduliwa mwaka 1980 kwa bei ya kama $100,000 kwa hela ya leo, pembeni ni SD card ya GB 1 ambayo haizidi $10.
Bandugu naomba kupata uelewa maana nimenunua samsung chart 5720 ila tatizo uwezo wake wa kusurf net naona kama ni mdogo sana wakati ina 3g sasa kwa yeyote mwenye uelewa na hili anisaidie jinsi ya...
habari wadau Mimi nimetafuta sana hii motherboard ya hiyo mashine hapo juu!! naona hapa dar motherboard nyingi ni za Intel chipset !!! hi ilikuwa na tatizo la display vga !! kwa anayejua naomba...
Hello guys, sorry natumia Huawei Ideos, OS ni Android 2.2, tatizo ni kuwa whenever i am using internet (Data enabled) inakuwa ina restart ovyo ovyo, sijui tatizo ni nini na how to fix it.
Thanx in...
most of the organizations kuna Intranet badala ya internet which means there is no access ya other sites apart from the internal network (internet). but kwa kutumia njia hii una uwezo wa kuchat na...
Amphibious vehicle to go on sale soon in USBy DEE-ANN DURBIN | Associated Press 11 hrs ago
Email
Share8
Print
Enlarge Photo Associated Press/Carlos Osorio - In this...
The computer-generated images below are simulated views of New Horizons' location in the solar system. The images were created using the Satellite Tool Kit (STK) software, which was developed by...
jaman naandaa project plan hivi, sasa nimepata tuta ktk uchoraji wa problem tree yani jinsi ya kuchora small tables na kuziunganisha kwa arrows, natumia wndow 7.
Swarm of trained rats is on its way to Mozambique to help the country's over-stretched health system detect tuberculosis in patients.
MAPUTO - A swarm of trained rats is on its way to...
Wakuu habari za leo...
Nina kompyuta ambayo niliagiza toka China aina ya Lenovo na inatumia Window XP. Kinachonipa shida ni jinsi ya kubadilisha Lugha.
Nimejaribu kwenda
control panel>language...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.