Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nataka kununua generator,vitu ninavyotumia nyumbani jumla ni kilowatts 2.5 sasa nichukue generator ya kva ngapi.Nataka generator ndogo ya wastani itakayofanana na uwezo wa vitu vyangu.Pia naomba...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Nakuja kwenu wana JF natafuta fundi Photocopy Canon IR1600 tafadhali anipigie kwa 07620664208 biashara zimesimama kabisa.
0 Reactions
1 Replies
817 Views
natafuta samsung galaxy mini used kwa bei ya kawaida mwenye nayo aniPM
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu nimenunua modem mpya ya voda na ninataka niwe naitumia kupigia simu. hichi kisoftware cha Huawei Dashboard kinafaa kabisa ila napata zenye ads za watenegenezaji, kitu abacho kinabore mbaya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana Jf naomba msaada wa kujua key za wireless ya jiran, siwez kumuomba, au kama kuna thread yoyote humu kwenye jukwaa naomba kuonyeshwa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Tafadhari naomba kujulishwa ni software gani nzuri na maarufu zaidi kwa ajili hotel reservation ambayo ninaweza kuinstall pia code zake online kwa ajili ya online booking...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimeikuta maeneo...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
wadau niko scuk kidogo jaman xo nlikua c iingie humu ndani ila yale mavit yet hayapg kaz na najua ypo mliobahatka kupalta plz ni pm maujanja jaman
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jupiter Photos Reveal Big Changes on Giant PlanetBy SPACE.com Staff | SPACE.com – 17 hrs ago Email Share3 Print Related Content Enlarge Photo Jupiter has been suffering...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Please see the link below; the source! Study rejects faster than light particle finding | Reuters
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Wana Jf around Dar kwa mwenye adobe photoshop naomba anipe tuwasiliane! maana kununua ni ghali i can't afford by nw!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau naomba maujanja ya setting za net kwa mitandao yetu
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Habari za muda huu wakubwa..Owky mim nilikua nataka kupartition External Hard disk yangu na kwa kua sijui nikagoogle procedures but unfortunately niligooogle procedures za kushrink..Hard disk ni...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Habari kwa wanateknohama, natafuta trial web hosting. Kama unafaham yoyote dondosha link hapo chini
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wanajopo. Simu yangu haina uwezo wa kuaccess yahoo. Siwezi kusoma mails, hata nikifungua web ya yahoo pia inagoma. Je, kuna namna ya kufanya ili niweze kuaccess email zangu za yahoo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niaje wakuu. tupeni maujanja jinsi ya kuplay PS2 via USB flash bila kutumia CD..
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Hi wanajamii, I don't know kwamba hili ni jukwaa sahihi la kuleta ombi kwenu msaada .................. ni kwamba nina Email ya Outlook ambayo nimesubscribe kwenye yahoogroup sasa nataka kujitoa...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Niaje mazee leo nime amua kuonyesha how fast voda ipo katika streaming nime make video iyo hapo ujionee mwenyewee.. Na angalia vizuri hapo nawatch kwa 720p HD! Voda keep ROCKING!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Water on the moon boiled away in massive quantities in a cataclysmic evaporation event during the moon's birth, bolstering the theory that a Mars-sized body collided with the Earth to form its...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Water on the moon boiled away in massive quantities in a cataclysmic evaporation event during the moon's birth, bolstering the theory that a Mars-sized body collided with the Earth to form its...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Back
Top Bottom