When you are on move and carrying important data in your flash drive, then you should have the portable version of essential software like Anti-Virus, Office, Password Manager, Browser, PDF reader...
How to have Dual Boot Option on PC even after installing earlier versions of Windows later
One can have dual boot option on PC to boot multiple operating system on single computer. For example...
Google Chrome OS comes bundled with Chromebooks and Chromebox. Either you will have to purchase these devices from nearest retailers or you may run Linux Distributions of the Chrome OS on any...
Jamani wana jf mimi nimedownload windows 8 kama moja ya thread humu inavyosema ila tatizo linakuja jinsi ya kuinstall hii window maana ina ukubwa wa 5.9264GB sasa nashindwa kupata DVD yenye ukubwa...
wadau naomba mnisaidie nimedownload windows 8 pro activator inakuwa kama compressed haifunguki sasa nashindwa nifanyeje ili kuactivate. natanguliza shukrani zangu.
habari wana jf hivi hii zip code huku kwetu bongo tunaijaza vipi mana kuna baadhi ya form ukitaka kujaza on line kuna sehemu ya kujaza zip code zip code ni nini ? ni code ya mji unaokaa au eneo...
Nawasalimu wana Jf...kuna kitu kinanizingua the whole week..ninatumia simu Blackberry 9780..mwanzo nilikuwa natumia Airtell ilikuwa inafanya vizur lakin nilipobadilisha line na kutumia tigo hapo...
Yeyote anayetumia FIFA 13 kama anaweza kutatua tatizo la ku launch hii game naomba msaada wake.
Tatizo ni kwamba baada ya ku install halikubali ku launch..
Hi Great Techs,
Nimenunua simu Sumsung Galaxy S III 19300 toleo la June mwaka huu. Nimeiangalia na kuchunguza features zake na functionality inaonekana ni genuine ila kuna kitu kimoja ambacho...
Wakuu nilizima simu yangu kwa kuchomoa batter bila kuswitchoff nlipokuja kuiwasha ndo ikanletea a white screen na hyo sms on screen App Error 522 na option ya kureset,,lakini nkijarb kureset...
Bandugu natafuta laptop iliyo bora kwa matumizi ya kawaida tu sasa ombi langu ni kupewa ushauri kutoka kwa ndugu humu jamvini ni aina gani ya laptop ni nzuri na ina sifa zipi? Pesa niliyonayo ni...
Nakumbuka ilipokuwa chuo, njia moja wapo ya kuangalia continuity ya circuit ilikuwa ni pamoja na ku-test terminal za DIODE.
Kitu ambacho huwa najiuliza ni kwamba ile tone ambayo hutokea kama...
Great Thinkers habari.
Jamani naomba maujuzi namna ya kuziokoa kisha kuzitumia picha hizi ambazo zipo kwenye digital camera.Tatizo nikuwa picha hizi zinaonekana ukiziview kwenye kamera lakini...
Natumia TECNO T501,
inazingua kufungua JF nikimaliza log inn inagoma inanirudisha nyuma yaani haikubali ku log in.
naweza kusoma post za wengine ila mimi kuandika post haikubali,pia haikubali ku...
-jina inaitwa dc 40
-imezinduliwa tarehe 9
-bei kama elfu 20 za kitanzania hadi elfu 25
Hii imetokana na tatizo la umeme kenya kiasi kwamba imefikia stage asilimia 80 ya wakenya hawana umeme...
Wakuu heshima mbele. Naomba wenye utaalamu wanisaidie jinsi ya kudownload software yoyote ya ku download video kupitia ubuntu. Au nieleweshwe jinsi ya - kudownload (Kupakuwa) video kupitia ubuntu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.