Mimi nina samsung ch@t 322 ni mpya kabisa na ina 2gb memory card LAKN kila nikidownload inaniambia memory full wakat hamna kitu kwny simu, nifanyaje wana-jf?
Nimejaribu kila ujanja ila kwenye kuplay youtube video imeshindikana, jaman mwenye ujuzi tujuzane maana bila youtube kwangu nakosa vitu vingi sana
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani...
While the mobile companies have realized the importance of the mobile audience and use it for generating income through advertising and product auctioning most of the African governments are still...
nipeni maujanja ya ku download movie nikiwa kwa ofisi mana hapa wameweka proxy mwenye maujanja kila kitu unapata isipokua ukitaka kudowload ina restrict mwenye maujanja ayamwage
najaribu kuadd picture kwenye web page yangu napata ugumu, nimeweza kutumia direct link toka kwa photobucket ambapo ndipo nilipo zisave picture zangu huko, tatizo siwezi kuziresize au hata kuisave...
Wakuu nina iphone 3GS ambayo ios yake ni 4.1, nimekuwa nikishindwa kuweka program mpya nyingi kwa kuwa nyingi zinahitaji version ya mbele.
Naomba kujua hivi nikiupdate mpaka version 5.1 kuna...
naaam wakuu, kwa wale wanaotaka kuzijailbreak iphone au ipod zao kuanzia iOS 3.0 mpaka 4.3.2 wanaweza kunipm niwaforwadie hizo softwares. nimeshindwa kuzi archive zote nakuziattach hapa due to...
Mimi nina samsung ch@t 322 ni mpya kabisa na ina 2gb memory card LAKN kila nikidownload inaniambia memory full wakat hamna kitu kwny simu, nifanyaje wana-jf?
Nmesikia kuna service ya Vodacom internet kwa modem ambapo u pay tshs 30,000/month n then u get unlimited downloads...ni kweli?,if yes vipi kuhusu downloadng speed??
MSAADA WENU TAFADHALI!
Natumia HP 620, Windows 7 Ultimate, SP1, 32-bit OS.
Ninapotumia modem za ZANTEL, TIGO na AIRTEL/ZAIN (HUAWEI) zinafanya kazi vizuri, lakini ninapotumia modem ya AIRTEL...
Heshima kwenu wakuu, naomba kuuliza hivi unaweza kutumia king'amuzi cha startimes kwa kutumia hizi satelite dish za kawaida kama eurostar yenye LNB ya KU au C- band kwa sisi ambao hatujafikiwa na...
kila nikitafuta nazipata ambazo ni ndogo kiasi kwamba baadhi ya mafile nilioelekezwa siyaoni....inasemekana yenyewe ina a kama mb 34 lkn ninazozipata mimi ni ndogo zaidi.....naomba mnisaidie kwa...
Bandugu nataka kununua laptop inaitwa lenovo sasa tatizo haina charge cjajua ina ukubwa gani bt bataka kujua kwamba hizi laptop zinaubora au ndoo vile zinasumbua 2.
Msaada tafadhali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.