Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu hebu nisaidieni inawezekana vipi kubaini simu fake na kuzitoa kwenye system(hewani)? Je kama ni hivyo kubaini simu ya wizi si inawezekana pia Hebu nifafanueli kitalaamu how this work
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimenunua universal modem 3.5g, 7mb/s (Jumbo)nikichagua hsdpa network inaconnect vizuri lakini shida yake inapata moto sana. Naomba msaada wenu wadau niweze kutatua tatizo hili.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau naomba msaada wapi naweza pata wataalamu watakaoweza kuniwekea kioo kipya cha Blackberry?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahaniwakuu: Hivi SAMSUNG GALAXY 10.1 GB 32....na IPAD 2 GB 32 hipi ni bora? Kati ya hizo 2, nataka kununua mojawapo Je,nichukue hipi?...msaada please!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndio wakuu, salaam sana. kwa kifupi kitu ninachotaka kukitoa si kipya saana ila si mbaya kwa wasiofahamu pia kushare nao idea. ni hivi, kuna softwares ambazo ni kama emulator zinazokuwezesha ku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji simu y nokia inayofungua net faster n iliyopo katika soko kwa sasa plz na bei yake kiujumla..nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nisaidieni ninapotumia laptop inazingua kusave moto tena inaandika not charging or 0% charging na nikitoa kwenye moto inazima! ni ""lenovo""
0 Reactions
1 Replies
837 Views
tuanze na printer kwa wasioijua hichi ni kifaa ambacho hutumika kupresent kitu kilichopo katika electronic form kije katika physical form (softcopy to hardcopy) Sasa sku hizi kwa wasiojua kuna...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau, Naombeni mnisaidie ni jinsi gani nitagundua kua email niliyotumiwa ilitumwa kutokea nchi fulani, eg, DRC au ufaransa. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kwa mtu yeyote ambaye anatumia iphone naomba anijuze kama tanzania kuna line ndogo za iphone, kwa sababu ambazo naona zote ni kubwa. Je ukinunua iphone na line ndogo hizi unafanyaje? Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu, natumia window Xp kwenye hii desktop... Kilichotokea...kuna mtu aliingia internet bila protection yeyote na tangu siku hiyo, siwezi kusoma documents zilizo kwenye MS...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman waunguana naomba mnisaidia kama samsung laptop zipo pouwa maana naona zinauzwa kwa bei pouwa(550,000).naomba kujua kama zipo pouwa kwa wale ambao walisha wai kui2ma.kama hazipo pouwa je kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaj kujua ni web gan inayo kubal kudownload movie nzima nmejaribu youtube magumashi tu
0 Reactions
3 Replies
950 Views
ni web gan ambayo utapata movies nzima coz nimetry you tube imekataa nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
782 Views
wadau wana jamvi natanguliza shukrani naombeni site ambazo naweza download direct link na IDM ambazo zina suppot proxy
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We all know that, Our Laptops are invaluable for getting our much important work done but they are also only as good as their battery life. Battery Life Cycle The lifespan of a battery depends...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimenunua memory card mpya ya ukubwa wa 4 GB but kila nikitaka kuingiza nyimbo kwa kutumia computer inashindikana na napata ujumbe huu, "THE DISK IS WRITE-PROTECTED, REMOVE THE WRITE-PROTECTION OR...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Jamani ndugu zangu web designer na web master wa hapa Tanzania naomba tujadili juu ya suala la "Website Vulnerabilities" , je chanzo chake kikuu ni nini nadhani tukishajua chanzo itakua rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear IT guys, Naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo. Password ya kulog in as ''Admin'' nimeisahau maana ni laptop sijaitumia kitambo. OS ni Windows XP. Nimeweza ku-log kama guest mana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unataka kununua smart tv na kutupa yako ya zamani? Subiri kwanza: http://youtu.be/ivf1dJnIifE
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom