Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naidownload now and ntawapa majibu namna inavyofanya kazi baada ya siku chache za kuitumia
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nina nokia e90, kila ninapoweka line ya voda, simu haikamati mtandao lakini mitandao ya tigo, airtel na zantel inakamata vizuri tu. Nilijaribu hata kurestore phone setting lakini lain ya voda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nimepata netbook Samsung N100 ikiwa na FreeDOS preinstalled, nikataka kuing'oa ili niweke Win 7. Baada ya kujaribu kwa muda bila mafanikio, nikawa na explore baadhi ya DOS commands na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za majukumu ,nimefanya installation ya programme ya Arc GIS ver 9.2 lakini nimekosa activation key yake .Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia nitashukuru.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimejaribu kusunguka hapa mjini kwenye maduka kadhaa ya vifaa vya electronics nimekosa kabisa charger please kwa yeyeto anaiweza kupata Panasonic Lumix DMC-TZ10 charger naomba tuwasiliane kwa No...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Brothers one day nilikwambieni abt my Mobile application,Ina uwezo wa kutuma ujumbe kwa watu wengi kupitia kwenye simu za mikononi, unaweza tafuta Company au any Organization ambayo unadhani...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nimekosa DVD za PAL za PS2,Je naweza kudownload kwenye internet,kama kuna mtu anafahamu anisaidie,hii PS2 inatumia PAL tu,Ahsanteni.
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Larry and Brin Am sure David Filo is still regretting and wishes to go back and change things, maybe we could be having Google Yahoo combined company wright now as the Adobe guys when they...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Wana jf naomba msaada nataka kununua simu lkn sijui sofa za smart. Phone naomba. Kujuzwa
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu the great thinkers! Naombeni nijulishwe kuhusu huu mfumo wa digitali unaokuja na tv zetu! Nimesikia hizi tv zenye kichogo ndo zitakua zimefikia mwisho wake labda mpaka utumie...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Software tajwa hapo juu naihitaji wakuu kwa ajili ya kukamilishia simulation za FLC (Fuzzy Logic Controller) design ili niendelee hatua ya mbele, nimejaribu kuchimbuka lakini utata bado mkubwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Between Ram and processor.Maana nataka kununua laptop sasa nashindwa ni base kwenye kipi kati ya vitu hivyo viwili.Hard disc 500gb naombeni ushauri wenu.
0 Reactions
6 Replies
952 Views
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari wanajf... naombeni mnisaidie hivi Airtel wa unlimited or limited sms for 1 month za kulipia kama bei iwe chini ya buku 10.... kama ndo unajiungaje na gharama zake zikoje?
0 Reactions
0 Replies
940 Views
aina chache nilizoziona ni Samsung na Toshiba...ipi bora? Na pia naomba msaada cost zake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu. Jamani tafadhali tusaidiane kwa jambo hili: Nimekuwa nikimkatalia jamaa yangu hapa kwamba huwezi ukakopi secured document lakini yeye akanikatalia kwa kigezo kwamba katika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wakuu naomba mnisaidie kila nikitaka ku download file kwenye cm yangu inagoma inaandika file corrupted nifanyeji?
0 Reactions
19 Replies
1K Views
habar jf, Kw anayejua jins ya ku install na kutumia joi air anaisaidie kwan ukifungua ndan ya folder lake kuna ico ya istall na kuna sub folder limeandkw Data ndan yake pia kuna setup ss...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf heshima zenu, tangu jana laptop yangu imezima ghafla na haifungui windows xp, imeshindikana ku reboot upya, kwa wale wajuzi kila ikifikia ile hatua ya recovery console nikijaza chkdsk...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Habari zenu wakubwa, nina a hard bricked phone Samsung galaxy S2 GT-9100G [after flashing OS android 4.0.4 I9100GXXLPY_I9100GDBTLP3_DBT] siwezi kuingia download mode wala recovery mode and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom