Wadau naomba kujua kama ninaweza kuangalia station mbalimbali kupitia tv yangu ya digital bila kutumia king'amuzi chochote.kama kuna uwezekano tujuzane.
Wadau, ukifuatilia hii habari inaonekana google search wana lazimika ku favor search results zinazo kuwa na gTLD's.....check hiii habari.
Will Search Engines give higher ranking for the gTLDs for...
Naomba msaada wadau wa teknolojia,
Nimenunua External HDD ya Toshiba inasoma speed 3.0 kwenye USB port.
Katika Computer moja ya ofisin inasoma na kufanya kazi, hivyo nikawa naitumia kuhifadhi...
Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya yazima kiteknolojia simu zote zilizofeki ambazo zimekua zikitumiwa na wakenya.
Mtangazaji wa Citizen Tv/Radio William Tuva ameripoti kwamba wakenya...
A test crash of a Boeing 727 in the Sonoran desert to learn more about what actually happens to passengers when a plane goes down found that simply bracing for impact could help save lives.
In one...
I was sitting on the coach in the evening watching the parliament session on the local T.V station, Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) when the member of the opposition party (CDM) Mr. Zitto...
Kwa kawaida mishahara serikalini hutoka kati ya tarehe 25-27 ya kila mwezi. Lakini mpaka leo baadhi ya watumishi Mkoani Morogoro hasa waajiriwa wa Katibu Tawala Mkoa hawajapata mishahara yao...
Mobile technology is among the booming tech industries in Africa, most of the African tech startups they are highly based in mobile development especially apps development. The emphasis has been...
Wakuu msaada,jana nilikuwa natumia computer lakini ghafla ikazima yenyewe,so baada ya hapo kila nikiwasha inaonyesha mwanga mwekundu kwenye button ya kuwashia,nimejaribu kuipumzisha kwa muda mrefu...
PC yangu ni sony VAIO VGN-R220E,RAM ni 2GB,Window ni 7profesional,
Tatizo sijui lilianza vipi manake tunatumia wengi,
ni kwamba,ukii boot inakuletea kale ka prompt cha 'Startup...
Nataka kununu printer aina ya EPSON 1410 sasa nimezunguka madukani hapa dar sijafanikiwa naomba mwenye kujua duka ambalo naweza kupata na bei yake nitashukuru. Pia kama ikishindikana basi nipate...
Heshima zenu wakuu.
Wakuu kuna kitu kimetokea kwenye facebook account yangu ambacho sikielewi.
Yaani leo wakati nasign in nimeshangaakupata notification ikisema FULANI ACCEPTED YOUR FRIEND...
TISPA na TCRA walifanya jambo la maana kuanza huu mchakato wa tld'z za Tanzania tznic i.e co.tz, .or.tz, .go.tz na kadhalika.
Ila na ukweli ni kwamba mpaka leo nina imani jamii ya wanateknohama...
Mwenye ujuzi na hili suala tafadhari nifahamishe!Kenya hivi sasa wanaendelea na zoezi la kuzima simu za kughushi,hivi wanawezaje kuzitambua wakati zipo mikononi mwa watumiaji???Na wanamaana gani...
Salam. Natumaini muu wazima.
Leo nimepata call na
Number hii +16025575502737 imenipigia leo, nikipokea kimya hamna anaeongea, kuna mwenye kujua hizi number niza wapi? Kuna mtu ameshawahi kupigiwa...
Wakuu nina decoder mbili za dstv, nataka kuziunga zote na niwe na uwezo wa kubadilisha channels kwenye kila decoder kwenye tv mbili tofauti kwa kutumia dish moja.
Naomba msaada wenu wakuu kama...
we deal in designing the cover photo of your business in a good quality at the affordable price with us we are taking you are business at the global level or visit our web page Welcome to Studio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.