Respect 1st, niliunlock modem ya eyatel na ikawa succeed unlocked, ila nikieka line ingine ikawa inasearch then inatoa text eti modem z not detected by remote computer...nikaamua kuiunstall na...
Habari wakuu, samahani naomba msaada kwa mtu anayejua namna ya ku-activate evaluation copy ya windows8 kwani ina-expire baada ya siku 90, hivyo nahofu material yangu yote yatapotea, naomba msaada...
Inategemewa cimu za mkononi zaidi ya 2.5M zitatupwa nje ya matumizi ifikapo saa sita leo uciku.. Hiyo imetokea baada ya serikali ya Kenya kupitia mamlaka ya mawaciliano kuamua kupiga marufuku cimu...
habari zenu wakuu,
mimi ni mteja wa internet katika mitandao mbalimbali tanzania, kasi ya internet imekuwa si nzuri kwa muda mrefu kweli.
juzi nilijiunga na kifurushi cha vodacom cha...
Jamani mimi nilichukua line ya Airtel mwezi mmoja na nusu uliopita wakaniambia wameniunga na promo hiyo. Baada ya hapo sikutumia tena line hiyo, sasa leo nimeweka hela nikaanza kutumia lakini...
Ndugu waungwana, mimi naomba mnitoe ushamba katika hili,SIMU nyingi zina Dot au hata kama sio Dot basi ni Alama fulani mithili ya dot tofauti na Button zingine kwenye Button namba 5. mfano;Nokia...
Msaada wenu plz inanigomea kwenye google au internet kiujumla nikiklick inasema "the webpage might temporaly down or moved permanently to another web page" msaada wenu plz na pia kuna sehemu ya...
Hi everybody!
Nahitaji kutengeneza logo kwa ajili ya kazi yangu.
yoyote anjejua kutengeneza nice-looking logo ni PM au nipigie nikupe maelekezo
Will pay something on it
0767659145
habari zenu wadau? Natumia avg free antivirus iko poa kabisa sasa nimepata avg internet security iko poa ila ina shida moja kwamba nikiwa internet baada ya muda flani ina block internet access...
Wataalamu,
nawasalimuni tafadhali naomba mnieleze hivi kitu ukifuta kinatokea wapi? au kuna program ambayo inatunza vitu vilivyofutwa mpaka kwenye recyle bin ?
Tafadhali hilo swali nimejiuliza...
Habari zenu ndugu zanguni. Naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Laptop. Huwa natumia kitambaa laini, lakini naona kuna michubuko kwenye screen. Naomba wataalamu mnisaidie ili nisiendelee...
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuiwezesha kimchina changu Android Samsung touch screen, ili niweze kuaccess huduma ya Internet. Natumia mtandao wa Airtel na Tigo.
juzi usiku wakati nabrowse nkashangaa ghafla java runtime inarespond then hapo hapo ika crash halafu program za startup zikajifunga zote including antvirus na kila nikiiopen antvirus inakataa...
Mambo vipi wa kubwa nina tatizo kidogo kuhusu my BB CURVE 9360 nihivi hii simu mwenye amefariki sasa kapewa Mdogo wake atumia sasa tatizo ukiweka Line nyingine tofauti na ile ya Mwanzo inakwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.