While the mobile companies have realized the importance of the mobile audience and use it for generating income through advertising and product auctioning most of the African governments are still...
Up For SALE in an OPEN BOX DELL STREAK 7 wifi+3g (factory unlocked)
The Item is already rooted and Alot of apps like viber and whatsapp installed and other apps (SKYPE VIDEOS ENABLED) and alot of...
Kwa msaada wenu nilifanikiwa ku-unlock Airtel Modem ZTE MF190. Ikawa inafungua line za mitandao mikubwa hapa Dar, mfano, voda,tigo na zantel. Nilitumia DC-Unlocker Software. Lakini sasa inagoma...
While the iPhone 5 is getting excellent reviews from bloggers and other reviewers, and fans jamming shops from Sydney to Paris to pick up the tech juggernaut's latest iPhone, Nokia is endeavouring...
Wiki iliyopita private number ilikuwa inanibipu mara kwa mara, niliwauliza Tigo na wakashindwa hata kuitrace. Leo nimepigiwa na hii number 0529381 nikasikia maongezi ya watu na walikuwa...
Habari wandugu, nina pc yangu Del GX 620 ina tatizo la kuji restart na niki cheki error detai napata hiki
Problem signature:
Problem Event Name: BlueScreen
OS...
Ile benki iliunguzwa na radi na mzee mmoja mkulima wa kijiji cha Kizi baada ya aliibiwa hela nyingi katika akaunti yake, akaona alipe kisasi kwa njia ile. Ile benki iliungua wa radi, hakuna...
heshima kwenu wakuu!!!!...nimeupdate Iphone 4s kwenda IOS6 na sasa hivi sijui jinsi ya ku-unlock coz sijaipata hiyo software...anayweza kunisaidia aniambie cha kufanya coz hapa nilipo nimepanic balaa
Hey natumia iPhone but hamna access ya kudownload vitu vizuri mpaka ulipie, ntawezaje kuiunlock hii fone ili nipate hiyo access, pliz stepbystep kwa anatejua ili, natumia iOS 5.1.1 simu ni iPhone 3gs
Heshima zenu wanajamvii,
Nahitaji msaada kwa mwanajamvii yeyote anayeweza kunichapia code kwa ajili ya contact form yenye muonekano huu: wasiliana nasi | maajabuyamaji.net , hapo ilivyo ni kuwa...
Hawa jamaa wameingia mitini hawapatikani tena kwenye sateliti walisema wanafanya marekebisho. Marekebisho gani hayo leo siku ya 6 naona wametutapeli kama gtv wabongo tumeliwa na mchungaji
1;step google IsoBuster ukipata download alafu fanyia installation2;step start up IsoBuster3;step Ingiza proteced cd into computer ukiwa umehold down the shift key( to stop windows autorun)4;step...
Steves passing one year ago today was a sad and difficult time for all of us. I hope that today everyone will reflect on his extraordinary life and the many ways he made the world a better...
Nataka nifanye site mbili tofauti ziweze kushea table moja japo zina database tofauti, eg. Nna site site1.mywebsite.com na site2.mywebsite.com kila moja ina database yake ila nataka ziweze kushea...
Laptop yangu natumia Window 7 kwa muda sasa..
Lakini sasa hivi kila nikiiwasha inaandika hivi
Window is not Genuine..
Halafu imekuwa nzito sana..
Tatizo ni nini. Naomba msaada
Hai respond kabisa nikiiturnoff hadi nichomoe waya wa adapter maana betri yake imekufa hivyo nikichomoa waya wa adapta inazima mojakwamoja,je tatizo ni nini na solution yake ni ipi maana ram yake...
Habar wana JF,
nina Harddisk yangu ya 320GB SATA ya my pc toshiba Mseries iko locked,nilikuwa najaribu ku lock kwenye BIOS set up ko nimesahau password,nahisi nazichanganya, najaribu inagoma,xor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.