Nimetumiwa iphone 4 na rafiki yangu,lakini tatizo ni kwamba haisomi laini za hapa nyumbani,kitu ambacho nilikifanya ni kureset all factory settings nikizani kuwa itasolve hilo tatizo,sasa baada ya...
Tukiwa tunajiandaa kuingia katika mfumo wa digital hadi sasa sijapata jibu kipi ni bora kati ya kuwa na ving'amuzi vingi au bora nijiunge na Dstv. Maswali yangu sasa
1. Je nisubiri hadi tupate...
Nimekua nikitumia card ya CRDB kufanya shopping online, wakati ule ilikua VISA card na nilikua nimeilink na Paypal, ilipoisha muda wake hawa jamaa wakanipa card ingine lakini hii card mpya ni...
wakuu naomba link za live tv.. Simu yangu ni Nokia N93 in 3G.. kwa sasa nina enjoy Aljazeera na Dstv mobile ambayo mpaka niweke voda na ina channel nne tu pamoja na tbc 1.. Anayefahamu chanels...
NIMEPATA CD YENYE LECTURE YA FIZIKIA YA F2 NA F3. LAKINI SHIDA YAKE NI KWAMBA ILI UPATE UHONDO KAMILI INABIDI UIWEKE KTK COMPUTER, SWALI LANGU NI JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUIFANYA ILI HATA...
What is Tango?
Tango is an entertaining, easy to use, free video calling service that connects people around the world with friends and family from wherever they are.
Free video calls can be...
The California SpaceX company has seen its unmanned Dragon cargo ship attach successfully to the International Space Station (ISS).
Astronauts onboard the platform used its robotic arm to grasp...
nilipostiwa movie ya ngono ya rihana na m2 naemuheshimu nilipo kuwa siamini nikai click haikufunguka ,ghafla nikawa napata sms za watu wakisema nimewatag nikalog off,leo nimefungua nakuta siwwez...
HIVI INAWEZEKANA KUFANYA ILI?
NATAKA NI-INSTALL WINDOWS XP YOYOTE KWENYE COMPUTER HALAFU KAMA INAWEZEKANA KUTUMIA UJANJA WOWOTE NIRUDISHE MAFAILI AMBAYO TAYARI YAKO INSTALLED NA NITENGENEZE...
Jamani habarini
Ninatamani kuwa hacker na mtaalam wa computer lakini nilichelewa kuamua nisome nini nikajikuta nimeelekea kwingine nataka kujua kama nitaweza kujifunza hadi kuwa hacker nakama...
Marafiki Mambo Vipi?Natumia iphone 3g sasa Jana nili erase setting zote kwenye simu, Matokeo yake simu imegoma kuwaka kabisa inaishia kwenye log ya Apple tu, wapi naweza kupata fundi ambae anaweza...
Habari zenu wana IT,kwanza naomba niwaeleze tatizo lililo nipata,mwanzo computer yangu ilikua ipo kwenye DOMAIN nikaibadilisha kwenda kwenye usergroup iliniweze kushea baadhi ya vitu na computer...
Ninatumia dell latitude D620 nikitoa battry naona sehem ambayo chip inaweza kuingia naomba kujua matumizi yake na kama inaweza kuunganisha na internet pasipo kuwa na modem na kama inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.