Jaman wana jf.. nilikuwa na modem ya zantel, wanahuduma nzuri tatizo ni kwamba ukiwa mtongani hupat network, ukiwa sanawari arusha vivyo hvyo.....sasa nimehamia airtel plz naombeni mnipe tips zao...
Naomba msaada wa kujuzwa simu gani nzuri na imara inayouzwa bei rahisi ambayo ina huduma ya internet.Tafadhari naomba msaada huo maana simu yangu imedondoka jana na kupasuka display hivyo sina...
Wakuu natumia sikmu ya HTC Inspire 4G na line ya tigo, nimeweza kuwa connected, napata facebook e mail etc. tatizo siwezi kubrowse internet inakataa nimejalibu google search wapi, wataalam...
Wadau mimi natumia nokia x2, na nimedownload operamini 6.5 ambayo ndio natumia kwenye intaneti sasa tatizo linakuja kwenye ku-upload picha ambapo net huwa ina-load bila mafanikio yoyote...
Salaam nyingi kwenu wadau,,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata audio ya free style alofanya godzila kutengenezea jingle ya tangazo la kipindi cha supaMix EA Radio cha Zembwela Na...
Eugene Polley, the inventor of the television remote control, has died at the age of 96. His original design, named the Zenith Flashmatic, was created in 1955 but it was not until the 1970s that...
Pc yangu ina tatizo la kuwa nzito kiasi kwamba nikiwa na copy data kutoka hapa kwenda pale na wakati huohuo nimeplay muziki,basi mziki utaanza kuimba kwa kuvutaa aka kukoroma.Tatizo ni...
Habari wakuu, ok kuna research flani hivi nafanya (ni kulingana na mishemishe zangu za kila siku ninazofanya) sasa imefika wakati inanibidi nijue mitandao yetu ya simu wanatumia modem (usb dongle)...
Kuna fundi wa madishi amenijulisha juu ya King'amuzi cha Abu Dhabi Sport. Ameniambia kuwa ni cha michezo tu na kupitia Abu Dhabi sports decorder nitapata hata ligi za soka za Amerika Kusini...
e.tv imekuwa scrambled channel kwa muda sasa..nimesikia kuna watu wana unlocking keys zake kupitia viaccess1..plz mwenye unlocking keys zake au za channel yoyote atupie hapa!!!
Habari zenu wakuu,
Napenda kiwatangazia kuwa najailbreak na kutoa loki iphones especially 3gs na iphone 4 hapo hapo na kwa bei nafuu! Pm me kwa hiyo service if you want
HELLO ALL
YOU DONT HAVE TO PASTE your PIN HERE AND START WAITING JUST GO TO THE LINK BELOW AND ACTIVATE YOUR SELF:RepliGo Reader for BlackBerry Activation : Cerience Corporation
From your...
Wana Jf ....
Hivi wakati nachat kwenye facebook, vipi naweza kumtumia mtu picha(photo attachment) na akaipata katika kibox cha kuchat?
Thanx in advance
nmeona wameniandikia conection za WIFI NA VPN.
SAsa vpn ni nini na inaungwa vp maana ina ulisa
description
sever
account
rsa secur id
passworld
af
sever
port
so hv najazaje then na i...
Nimeangalia hii picha on IssaMichuzi na najiuliza, hapa kweli hapana maafa? Baadae isiwe ikawa ishu jamani!!!!
http://1.bp.blogspot.com/-mlLgxBXy-48/T7uaFWil3WI/AAAAAAABbCg/eiTIbBvxzTU/s1600/4.jpg
kwa wakuu kwenye google talk id si mbaya mkangusha id zenu hapa tuweze kuwasiliana hususan mambo ya tech zaidi,nkianza na yangu mwenye masterg1990@gmail.com,NAWASILISHA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.