Habarini watata wenzangu wa Tech!Kumekuwa kuna watu wanadai kuuza line zenye free internet na wengine kudai kwamba hizo line ni zile zinazouzwa mitaani kwa sh 500 ama 1000 na ambazo...
Saluti kwenu wanaJF.Nina Nokia 2700 classic, tatizo nikitaka kutizama video online hasa toka U-tube na kwengineko, inaniandikia neno; 'nothing to display'. Nimejaribu kutumia mitandao tofauti...
Habari wanajf.
Nipo ktk kujifunza coding na sasa najifunza html. Ili niweze kuimaster vizuri nimeshauriwa nifanye mazoezi ya kina kwa kutumia HTML Editing Tools, Dreamweaver etc.
Kwa vile sina...
wakuu nina printer hapa, hp deskjet 2050A....Ni mara ya pili sasa nanunua catridge na zinabuma baada ya muda mfupi<hii ya pili sijafikisha hata copy 100>, Je ni kawaida yake huo ubovu au kuna...
wanajamii, nashukuru kwa msaada wenu kwani nimephanikiwa kurestore software ya simu yangu ya iphone. ila sasa kuna tatizo moja , kwamba inakataa sim kadi inaniambia kuwa haisapoti. je, kuna msaada...
salamu wakuu.....!! najua wadau wote mnapatikana hapa>>> airtel kama inawezeka...kwa sisi watumia wakubwa na internet....twaomba kama mtu ukitaka kuongeza bundle ....uweze sio mpk uliweka...
Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.
Nina video katika FLV format. Je, niweke katika format ipi ili ni-burn katika CD? Pia, software ipi nitaweza kuitumia kuipele video katika format husika? Ninatanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo.
una simu zao za mezani hivi sasa ukiweka vocha ok ,ukiactivate bundle ok.
lakini ukicconect intenet.yaja sms ...check your modem configuration .je kuananini?
huko sasatel
Naombeni msaada wakuu kila ninapotaka kuaccess camera yangu kwenye blackberry inaniambia 'close other application'
sielewi ni application zipi?kwani wakati huo naamini kuwa sijafungua application...
Well, maybe a couple of bags of chips with your favorite diet drink.
Raspberry pi have brought forth this morning their flagship computer sized as a credit card (maybe a little fat though) that is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.