Yaan hapa wilayani magu kuna mnara wa cm (voda),
lakin masuala ya Net Yanasumbua kweli, eti net inakamata upande wa kusini 2, wale wa upande wa kas' wakitaka kuaccess lazma waje kus, yaa ni ovyo...
Habari rafiki!
Baada ya kuinstal windows7 kwenye machine yangu kuna baathi ya drivers zinakosekana ambazo mimi sizifahamu kiasi kwamba baadhi ya magemu hayaplay pamoja na baathi ya application...
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze...
Ninaombeni msaada wenu wataalamu wa simu zamikononi. Ninataka kujifunza jinsi ya ku unlock simu, kuflash na kurepair software za simu kwa kutumia software na tools mbali mbali. Ninahitaji mtu...
Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.
Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe...
:washing:wadau ninaomba ushauri kuhusu web browser ninayotumia ni mozila Firefox,inanisumbua kutokana na ukifungua email inakataa kusain out hata facebook ni hivyo hivyo.
wakuu there is no doubt when it comes to mobile phones Nokia runs the market. sasa recently they have released this phone nd guess what? it has 41 megapixels. this is huuuuge,cant wait to see it in TZ
wakuu kama kuna mtu ameshawahi cheza hii game naomba msaada wa game walkthrough kwenye mission ya mwisho (base demolition) kwenye how to escape. aisee am stuck in this mission for like 3weeks...
Nina mafaili(forders) kadhaa kwenye laptop yangu,nataka kuyaifadhi kwenye DVD kwa sababu mbalimbali lakini kumbuka DVD mwisho wake huwa ni 4.7GB.Yale mafaili siyo VIDEOS.
Ninaomba ujuzi wa kuweza...
Kuanzia kama saa tisa hivi mchana wa leo sikuweza kupata access ya my favourite networks (jamiiforums, BBC, nufc, CNN, na times in that order). Baadae network ikarudi ila BBC wana report kuwa...
Wakuu nina mpenzi ambaye natarajia kumuoa mwishoni mwa mwaka huu Mungu akipenda. Hata hivyo kuna vijimambo vyake sijavielewa kabisa nahisi kama nadanganywa vile (kiswahili lugha maskini sana...
wakuu vipi kwema?????ebana naombeni msaadsa hapa, hivi ni computer zote zinakua na bluetooth?? Mimi natumia sony. sasa nashindwa kujua kama hii inayo huduma ya bluetooth au la, msaada wenu jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.