Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wadau nahitaji kununua tablet lakini bado sijafahamu ipi ni bora katika matumizi,wengine wanasema chukua za Android wengine za IOS so plz ushauri hapa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
HAbari wana jamvi Ebwana BB bold yangu imekufa charging system nAtafuta fundi mzuri wa haya masimu apa dar.. Ntashukuru kwa msaada wowote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
fungua JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application utajisajiri,kisha utakuwa ukituma SMS bure na mengine enjoy qq
0 Reactions
0 Replies
762 Views
laptop yng HP ProBook 4411s haisom cd wala haionyesh kama kuna cd imewekwa naomben msaada
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Pia naomba msaada wa kuunganisha cm kwenye computer kwa kutumia usb cable au bluetooth iwe connected na nokia pc suite,mana nilitumia usb cable flan ya nokia nikapata lakin kwa sasa kila nikitumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kuna anayejua jinsi ya kuongeza internet speed kwa computer zenye Window 7 operating system wakuu anisaidie. Nakumbuka kwa watumiaji wa XP iliwezekana, mimi naomba nisaidiwe kwa Window 7
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu mi nina kaiphone kangu kila nikisign in jf after one thread nikiwa nimesoma ninajikuta automatic nimesign out bila Hata ya kufanya hivyo.Pls naombeni mnijuze ni matatizo ya iPhone au ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau,nina acer aspire one d255 lakini haina bluetooth,je ninaweza ku install bluetooth device software? Au kuna card mpaka ninunue niweke ndo naweza kupata bluetooth au ndo haiwezekan kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
habari wakuu..naomba mwenye proxy na port namba za airtel internet za simu anisaidie..thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali). 2:Je, kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf! Nawaombeni sana ndugu zangu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kuondoa tatizo kwenye simu yangu SUMSUNG GT 3212i. Tatizo:kuna wakati it may take 10 seconds inaandika dsn...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa dar ambayo nitaweza kununua refill kit kwa ajili ya catrages za HP, nimetembelea sehemu nyingi hapa dar wengi wao wanarefill tu hawauzi tonner au...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
tangu jusi mm spati jf kwenye simu yangu modes kuna tatizo gani tena :A S 465:
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu habarini,huku mie niliko mwanza naona tangu mchana kuna hali ambayo tangu kuzaliwa kwangu nahis cjapata kuona maana mchana mishale ya saa7 nimeona jua likiwa limezungukwa na kitu kama upinde...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nokia wametoa sim yenye uwezo wa 41 mp,ln kinacho shangaza ni kubwa ina sensor tano za 5 mp na toleo la mwisho la picha ni 5mp.yaani sijaelewa kabisa kuhusu camera yake.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada,nime download win7 kutoka kwenye internet na nime save kwenye computer,sasa nataka ni copy kwenye cd ili niweze ku boot nayo computer,nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
862 Views
imeanza kutokea baada ya kutumia Your feedom client. Open VPN na Afd dialer kusurf Internet. Kama ikiendelea kutokea ina madhara gani? naomba msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
908 Views
habari wana jf jamani naomba kujuzwa jinsi ya kutumia premium cookies kwa hizi file hosting kama rapidshare au megashares kwa kutumia google crome au mozila firefox kama kuna mtu ana mifano mizuri...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Hi! wana jf,naomba mnisaidie jinsi ya kuset cm yangu(nokia 6230)iwe ina play streaming videos.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom