naomba kusaidiwa hivi airtel wamebadilisha namba zao? nimetuma neno internet kwenda 15444 lkn msg haiendi nikawa na mashaka kuwa labda wamebadisha. kama kuna namba mpya nisaidieni
WADAU NIELEWESHENI HAWA TIGO WAMEKUWAJE MBONA WAMEBANIA KUPITA KIASI HADI KUTAKA SIFA?
yaani ukiweka 700/= hela ya kutwa hupati mtandao wowote labda Jamii Forum tu au simu yangu ndo uwezo wake...
Kuna tuitorial flani ya blender nimeikuta kwenye site yao, natamani niwe nayo ila nashindwa namna ya kuidownload kama unaujuzi jinsi gani naweza kuipata naomba msaada wako
SHUKRANI.
Wadau kuna modem ya ttcl nilinunua mwez uliopita hii modem tangu nanunua kabla ya kuanza kutumia lazma ufanye setting zake kwanza hii ni pamoja na kuandika namba ya cm kama user name pamoja na...
Natumia laptop tajwa hapo juu window Mac os x 10.5.8, kunabaadhi vitu nashindwa kuzifungua na kuinstal kwa mfano nimejaribu kufungua joinAir inaniambia ( there is no default application specified...
How to recover hacked Facebook account
Facebook profile account is a valuable online identity for lot of online users. Losing this identity or account to hackers can prove bad considering lot...
habari wakuu heshima nyingi...!! nina hard disk yangu....ilikuwa kwenye laptop dell latitude D630.. ikawa haiwaki...katika kuichek nikajua ram ndo tatizo nikabadilisha......ila after changing it...
Wakuu naomba mnijuze na kunisaidia juu ya hii ishu ya car immobilizer.
Kuna suzuki v6 imetia lock ya immobilizer so gari haiwezi waka .Je kuna njia yoyote yakuweza kuanlock immobilizer...
Napenda kujua zaidi kuhusu haya;
.How to design softwares?
.How softwares differ from applications?
.Who are profitable hoster companies of websites?
.What is different between wapsite and...
Wakuu napiga diploma ya ICT,sasa kuna hili somo la computer mathematics lakini naona kama napoteza muda vile.lakini mwalimu kanieleza kuwa kama nina ambition ya kujiendeleza juu lazima niwe na...
Hi wanajamii mimi nina hoja nataka kuwakilisha kuhusu kumap miji yetu ya Tanzania nataka kuwawashirikisha wale wote wanaoweza kujitolea mda wao kuweka sehemu kwenye ramani ya tanzania ambayo ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.