hey guys, kuna mtu yoyte anajua or anasoftware ya kudownload google books? please msaada wenu,
NB
Dont tell me to buy google downloader as I don't pay for programs and guess what (you should'nt...
wanajamvi, samahani naomba kusaidiwa kama kuna websites nazoweza kutumia kuona tv stations za tanzania yaani itv, star tv, channel 10, na tbc (watch live on line)
Wakuu niko kikazi geita toka last week! kuanzia jana hadi leo kamodem kangu hakapati network, nikajaribu kuingia kwa handset voda internet hakuna kitu. Wenyeji wanasema sometimes hata mtando wa...
Nadhani ushawahi kukutana na windows installation setup ambayo haifanani na ile original ya microsoft. Zipo nyingi mfano, black xp, lite xp, lite vista, lite 7, vista xp, n.k! Leo nataka kushea na...
I think,for reasons known better to me,it is high time i changed my username herein..naweka jina langu halisi kabisa from now on!
Sa tatizo sijui how to go about it,mwenye kujua please..
Wakuu teknolojia niakua lakini lluga yetu ya kiswahili bado kiko nyuma. Kama watanzania tunatakiwa tuuganishe nguvu na tushirkiane na kujitolea japo tuwe na ka gruop hapa JF ili tutengeze...
Jmn thread moja hv.
Ilikuwa inazungumzia kuhusu IMEI namba za Nokia pia ikaongelea kwamba nokia ambayo 7th 8th imei zake ni 02,20 ndio halali, msaada plz kama kuna mtu anaweza kuiweka tena hapa
hivi wadau window 8 ishatoka au bado maana nareceive alot of messages nakuona advertises zake sehemu mballimbali au kama bado kwa yeyote anayejua inatoka lini si vibaya pia...
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say...
Wajameni....Kutokana na matatizo na gharama za Maji nafikiria ku-recycle na kutumia tena Maji yaliyotumika kufulia nguo kwa kuyarudisha tena ndani ili ku-flush toilets etc.. Naomba msaada wa...
Ok wakuu nimeona vyema tujadili kidogo kuhusiana ni hili jambo nadhani baadhi mtakuwa meshaskia kuhusu web phishing na
wengine mnajua ni kitu gani na wengine mnalisikia tu hili neno na kujua...
kuna some proxies nimezipta for facebook online ni 69.162.137.251 69.162.137.247 69.162.139.26 69.162.139.31 69.162.139.34 port ni 80, they work but not as a normal facebook mode unakuwa...
Jana usiku nilidownload video toka you tube, albam ya wayne, adobe flash player iliyokuja na antiv ya mcafee pamoja na gimp hii ni application zote nimetoa torrents kasoro hiyo adobe nilipata link...
nataka nibadilshe jina langu wadau naona hili limekaa too much official nakosa uhuru wa kuanf=dika vi2 so sensitive plz kwa yeyote anayejua anisaidie utaratibu
Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer.
If this is the first time you've seen this stop error...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.