Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
katika huu utaratibu mpya, nilisikia kuna makampuni matatu yaliyopewa haki ya kuendesha mfumo huo, mawili ni star times, agape, la mwisho sikumbuki jina lake lakini nakumbuka linahusiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, kuna mtaalam anayejua kuchakachua hii kitu, ni kwa landline na modem za smartAx mt880. Kama unaweza please tuwasiliane kwa pm tubadilishane. Thanx
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni kujua ni software gani nzuri zaidi kwa kuchorea ramani za nyumba. Nahitaji ninunue online. Natanguliza shukrani kwa msaada.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu. Nimekuwa natafuta njia ya kutumia internet kwenye blackberry kwa chip yangu ya airtel kwa kuchange APN bila mafanikio. Najua ya tigo tu ila nataka ya airtel kwasababu ni cheap zaidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nashukuru sana kwa waandaaji wa page hii, kwani tunapata nafasi ya kufahamu mambo mengi sana! niliomba msaada wa kupatiwa lisence key ya PC Performer lakini sijapata msaada jamani. pia nina iphone...
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Wakuu natumia dell d 630 ina (wifi) connection inayowezesha kutumia internet iliyojiran kwa kuset tu. Kwa upande wa laptop yangu d630 kushoto kuna batan ya kuswich on wifi kwa kuisquiz ila kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Mimi mwenyewe nikiwa mmoja wao, knowledge ya computer ni muhimu sana hivyo kwa wenye uzoefu ni kozi gani muhimu tupige dis time tunasubiri matokeo ya vyuoni ambazo zitatusaidia baadae au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia kuhusu mabadiliko ya teknolojia toka mfumo wa analoji kwenda digitali. Naomba nielweshwe mabadiliko haya yataleta ahueni gani kwa mtu wa kawaida. Mfano, Je tutaendelea kudundika...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
kama kuna mtu yoyote aliye na software nzuri ya kuedit video kama ya movie maker pliiz tusaidiane...naihitaji sana...
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Wadau naomba msaada kajua kama kuna uwezekano wa internet kwenye blackberry verizon. Mitandao yote ya simu nimeenda wanadai haiwezekani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau kuna mtu anaweza kunielekeza jinsi ya kudownload microsoft encarta inatumikaga kama reference.........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF niko mbali na Dar, bahati mbya simu yangu imesumbua mkanda(samsung SGH A797) na omba nipate simu ya fundi hapo town dar niweze kumuuliza kma atanipatia spea.Natanguliza shukrani zangu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naamini wote mpo poa kabisa,nina nokia X7 lakini ni hizi za kichina,nilikuwa natumia head phones,lakini nikitoa head phones inabaki kwenye profile ya headset,haiwezekani kuichange kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWANZA INSTALL BLACKBERRY USB DRIVERS AU Blackberry Desktop Software 6.1.0.35.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download PILI SOMA MEP NA IMEI NA TUMA(MEP READER...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Naombeni Msaada wenu wa ku unlock hii simu aina ya HUAWEI C2281. Niliinunua simu hii TTCL na ilikuwa inatumia line ya TTCL MOBILE. Sasa hivi siitumii tena kwa hiyo imekaa hapa home kama skrepa tu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
kuna mtu aliishika simu yangu akaweka password kwenye memory card haifunguki kabisa inanitaka niweke hizo pswd sizifamamu. nimejaribu kuiweka kwenye computer haionekani kabisa. ndo ilo tu wakuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi sioni kwanini nikatae kumsaidia mtu ambae anahitaji msaada kwa kitu nnachokijua au ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Mtu anaandika anauza program ya kuconvert video to mp3 is that fair...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
nimenunua hiyo sm htc dream yenye os ya android wiki iliyopipa tatizo inahitaji google acount na kila ninapocreate inafail kwa kuandika temporary error contact customer service, sielewi nifanyeje...
0 Reactions
6 Replies
882 Views
Ndg zangu naomba kujulishwa je haya madish ya tv yapo ktk mfumo gani ni analog au digital ?. Na je pindi serikali itakapostopisha mitambo ya analog, je na wenye madishi itabidi wanunue vingamuzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom