Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Juzi Alhamisi nilifanikiwa kufuatilia kikao cha bunge kutwa nzima. Lakini jambo nililoligundua ni kuwa kumbe tunaweza kutumia faida ya teknolojia kuokoa rasilmali mtu ambayo nadhani inaweza...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Eti hii imekaaje? Juzi nime flush 4n yangu sasa hvi nikidownlod application yeyote kama opera mini haifanyi kazi kabisa. Kwa mwenye ujuzi anisaidie plz. Thankx
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau wana jamvi natumai mmeamka uzur, naombeni msaada wenu kuokoa jahazi kwan kila kunapokucha hii pc inazid kuwa slow tofauti na siku za nyuma kabla sijainstall avira ant virus nakui scan...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ndio wakuu wote za masiku? nilipotea kidogo niliingia chimbo. nweiz naomba msaada wakufanya installation ya custom firware kwenye psp ili niweze kuplay downloaded iso games.
0 Reactions
2 Replies
879 Views
wakuu niko mbeya, nimekuja na modem yangu ya ttcl, sasa tatizo ni kwamba kila nikitaka kuweka vochar inashindwa kuconnect, nikipiga number 100 ili niweze kuweka voucher inakataa... Au mbeya hakuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kujua Tanzania ina madini ya Lead Ore na Silver ore? kama yapo yanapatikana mikoa gani mwenzangu mnijuze.
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Apple wametoa toleo jingine la version ya operating system ambayo inaleta features za iOS devices (iPhone) to mac
0 Reactions
4 Replies
876 Views
wanajamii nina tatizo hasa pale ninapochange ip address pamoja na port kwenye browser (mozilla) na kutumia zile za marekani mashine inakuwa na internet access lakini haifungui web page na inanipa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The Blood Typing Farce At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
habari za kwenu, Naomba msaada, nimeingia kwenye gallery yangu nikaenda kwenye folder la kuwekea picha na video nakuta liko empy kabisaa.. hii ni mara ya pili inanitokea..mara ya kwanza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to slow poisoning from blood...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Jamani nashindwa customize pages za joomla niliyo download na je yale mafile naya upload vipi kwenye servers za webs.com
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The East Africa Submarine System (EASSy), a submarine fibre cable system on the East coast of Africa, has encountered problems since yesterday morning. EASSy’s South African landing partner...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
WAUNGWANA, kwa wale wajuzi wa adobephotoshop cs4, naombeni msaada wa serial number zake (key) nataka ku'instal nashindwa kwenye stage ya ku'insert S/N
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jaman nielekezeni jinsi ya kuweka PERSONAL CONFIGURATION,na ku2mia vodacom free internet natumia NOKIA 2700-C naomben mnielekeze step by step Kwan tayar nimeshadownload ile operamini trick sasa...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Poleni na majukumu wanaJF wenzangu, mimi natumia vodafone BB bold tatizo ni kwamba network yake haijatulia hata kidogo mara iwe 3G,EDGE,OFF or SOS. Hata nibalishe line ,yaani kwa kwel hata sienjoy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman nataka kununua ipad,kwa wenye ujuzi naomben mnisaidie khs bei.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The Eye Test Can you find the B (there are 2 B ' s) DON ' T skip or your wishes won ' t come True.. RRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR RRRRRRRRRRRBRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR...
1 Reactions
0 Replies
679 Views
Natumia cmu aina lg GX500 ila nashindwa kutumia program ya wifi, msaada kwa anaefaham anielekeze.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tembelea hii site kuangalia status ya foleni katika barabara za dar www.foleni.com
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom