Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
These Internet users in a cyber-café may not be aware but they are exposed to cyber-crime that is now spreading to the mobile phone. A one-day seminar, with theme “Successful Banking Systems...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Wadau mwenye kufahamu anaeuza projector kwa bei nzuri anitaarifu. pia kama unajua maduka zinakopatikana naomba unijulishe na bei zake please. no. 0715602000, 0767602000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina laptop DELL Vostro ambayo ina windows 7, namimi nilikuwa nataka kuitoa windows 7 niweke windows xp lakini inagoma kuload windows xp Naomba mnisaidie nifanyeje ili niweze ku load windows xp?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
niaje wakuu wa kazi naombeni ufafanuzi kuhusu whatsapp inaweza kukubali kwenye nokia 6300? maana nimejaribu kudownload imekaa labda kuna yeyote ambaye alishajaribu kuidownload kwenye hiyo simu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada wa dvd unlocker
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Wana wa familia ya JF mambo vipi?? Tafadhalini naomba msaada kwa wanaofahamu Satellite/Frequency/na Symborate za hii chaneli ya AD Sports inaonyesha ligi ya uingereza live tena bure na WWE live...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
msaada tafadhali model:E153u-2 IMEI:352374045518944 S/N:BAA5TA1111802105
0 Reactions
0 Replies
888 Views
msaada tafadhali model:E153u-2 IMEI:352374045518944 S/N:BAA5TA1111802105
0 Reactions
0 Replies
537 Views
wakuu heshima yenu,please mwenye configuration za internet katika nokia za kichina N9
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo wandugu, kuna mtu anayo key ya hii sodtware? ni kwa ajili ya ku control printing works
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau me nimenunua laptop dell inspiron haikuwa na window nikaiweka window7 ultimate........ nikitaka kuitoa haitoki..... na kuiactvate mpaka uwe na product key so kuna mtu ana pruduct key za...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Wimbo wa Dini umeibwa na wasanii wa Nigeria unamaneno kama haya " god is gooder, everything double double, money double double, promotion double double. na ule unaoimba I will search you in face...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada mwenye utalaamu. Nimedownload ila nimeshindwa jinsi ya kuitumia. Nina modem ya voda.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
i have been using airtel to subscribe bundle for internet, neva tried tigo or voda, need some ideas from you members which is the best amng them three in economising and using it to the fullest...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Nilikuwa natumai Coraldraw X 4 trial version na sasa imekwisha - sina cd na wala, mwenye updates zake naomba mssaada
0 Reactions
0 Replies
706 Views
How can I enable and install Javascript in my Nokia 3220 v. 05.90? My trials had ended in failure, please help me.
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Eti hii 25% ya nyongeza ukinunua muda wa maongezi kwa mpesa eti ni uwongo hupati kitu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani simu yangu nokia n70 inanichanganya sana maana siwezi kuandika wala kusave message,inaleta ujumbe memory low delete some data first,cha ajabu nimeshafuta vitu vingi sana lakini bado...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
​kila nikitaka kuifungua inasema je unahitajika kuiformat je ninawezaje kuifungua bila kuiformat au kupoteza data zangu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba msaada wenu. Tigo wamenibambikizia nyimbo/caller tunes ambazo zimekuwa kero kwa wanaonipigia. Naomba kujua nitaondokanaje na hilo!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom