Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Toka jana nashindwa kubrowse, application zote hazifunguki na configuration zimepotea zote....pia nashindwa kusoma text, ninapojaribu kusoma simu inazima na kuacha mwanga mweupe...naombeni msaada...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Jamani, nina Blackberry na ilikuwa inashika Net kama kawa bila kwenda Tigo kwa ajili ya kulipia ile ya 7000. Lakini nashangaa juzi imeshindwa kubrowser, nimejaribu kujiunga zaidi lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie,kwa anayejua namna ya kutoa au kurecovr my memorcard paswod..ilikuwepo but sasa nimesahau ,so nashindwa kutumia,mfano:kuweka kwa simu nyingine,hata kuhamishia chochote from...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
waungwana decoder yangu dsd 1131 imepoteza chanel kadhaa kwa zaidi ya wiki tatu sasa, nifanyeje kuzirudisha?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Just came across this blog. Worth checking out. http://certificationinkenya.blogspot.com/
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Wakuu kuna laptop ni mpya sasa nimeiweka window 7 lakini imekataa kuunganisha internet. comp yenyewe ni ACER ASPIRE 5336. nimetumia moderm internet inaunga fresh ina nikitumia cable inakataa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
wadau eeh,hebu mwenye maujanja haya naomba anielekeze,nasikia eti hizi receiver za kawaida unaweza kufanya michezo ukaunganisha na dish na computer then uka-access net for free,unafanyaje sasa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear Ethinkers Resonate Consulting Group LTD has organized an intensive CISA review course at a very reasonable and affordable cost for candidates, who would like to sit CISA exam in June 2012...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkuu asante sana kwa kunifumbua macho. tangia uweke ile thread yako jmos usiku hadi leo natumia internet bure kwenye simu kupitia tigo. Nilichofanya kwenye setting za internet; :proxy...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hey wana jf Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia simu kufungua hizi kampuni za shorten url baada ya kuwa forced ku open ads huku wanaekewa sekunde za kusubiri. Na kama mnavojua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninatumia google chrome na internet explorer. Nimeongeza safari na opera, lakini ninapojaribu kuzitumia(opera na safari), zinashindwa kuunganisha mtandao na zineleta sms kwamba an error has...
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Hbr wana Jf popote mlipo! Tangu jana hii mitandao miwili imewaweka watu ktk wakati mgumu sana. Maana unaweza kupokea simu kwa muda mchache baada ya hapo hali inakuwa ngumu kana kwamba huna salio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninatumia windows 7 32 bit, nimepata AE cs5.5, tatizo ni 64 bit, kuna mtu anaweza kunisaidia nifanyeje ili iweze kuwa installed katika 32 bit yangu? Kama haiwezekani, ntaipata ya 32 bit? Kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau naomba msaada katika kutofautisha windows za 32 bit na 64 bit
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau anaejua jinsi ya kufanya muvi uiangalie huku ikionyesha sub-title ashushe darasa maana wengine kizungu tunaokoteza bila sub-title hakuna mzuka..kama vipi maujanja yanahitajika..
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naam wana jf teknical forum hope mambo muswano. . Siku za karibuni nimekua naona mabandiko na matatizo ya watu mbali mbali kuhusu madereva(Drivers ) wa computer na laptop zao. Ni sababu hiyo...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jf nauliza haiwezekani kuongeza nguvu dishi la futi 6 liweze kukamata kama la futi 8
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nina pc yangu,naweza kuiwasha na kufanya kazi,kama kawaida ila cha ajabu inazimika gafla tu!na kuanza tena inafikia hadi neno window xp linaonekana tena inazima inaanza tena,inaweza ikachukua hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kweli hizi smart phones zinapoteza kabisa internet cafe, kwa maana imefikia hatua kila kitu mtu unafanya kwa kiganja chako, hata moderm sasa zitakosa soko sasa. Mtu akienda cafe ujue anafuata...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani simu yangu ni NOKIA C3 Naomba msaada jinsi ya kuifanya ipokee na kutuma MMS,,,,,,,,
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Back
Top Bottom