Wadau anayejua kutumia kifaa cha satelite finder naomba anijuze maana dish langu la dstv linageuka geuka kila nikiwaita mafundi wanakuja kulitwist kidogo tu wakitumia hicho kifaa wanakula 30,000...
I use a Micro SD card in my Ipad but I could not put the card in my computer. Now I found a way to use 3g Modem to connect card to my computer and it also works with the card for my Camera. It is...
Habari wakuu nina blackberry 9630, 9650 na 8830WE toka kampuni ya Verizon zinanipa taabu sana kuweka salio na kuangalia salio, haziku bali kwa kupiga *104* au *102# zina kuwa kama vile unapiga...
NASA's planet-hunting Kepler spacecraft has confirmed the discovery of its first alien world in its host star's habitable zone that just-right range of distances that could allow liquid water to...
Rumors are rife that Apple may release the all new iPad 3 by the end of March. Apple has scheduled a media event next month on March 29. News leaked by the nearby electronic makers say that many...
PLEASE DOn'T PM me about this MAELEZO KUHUSU HII KITU FIND IT KATIKA THREAD HII HAPA:
THIS IS A MEMBER THREAD ONLY KAMA NI GUEST U MUST REGISTER TO SEE THIS.. ALL HACKS ARE ALIVE AND KICKIN...
Najua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante
WanaJF habari za muda huu.
Tafadhalini naombeni msaada wenu mabingwa wa simu niliweka security code kwenye hii simu lakini nimezisahau.Msaada tafadhali kwa anayefahamu master security code ya...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii kitu na baada ya kuipitia nimeona kama inaweza kunisaidia hivi. Mimi ni mtumizi wa kawaida wa kompyuta na siwezi kujivunia kujua zaidi ya...
Wakuu naombeni msaada, nikijaribu ku validate au ku edit au hata ku delete email accounts kwenye Blackberry yangu inaniletea error message 'The site cannot be accessed in this manner. Please use...
Hello Gurus,
I have a cable having RJ45 on one end and USB on the other end.
Can I use this cable for connection of Cisco router to PC for configuration?
How do i do this?
iPhone 3g inawaka na kuishia kwenye 'connect to itunes' logo ukiconnect na iTunes na kujaribu ku restore inafika kati na kukujibu error 1015 nahitaji msaada wenu waungwana au hata kama ni fundi...
ninayo digital camera yangu aina ya cannoin na zina picha nilizopoiga ila kitu cha ajabu ni kwamba nikitaka niziangalie na kuzistore kwenye laptiop hazionekani ila kwenye...
Wadau naomba mnijulishe mimi natumia MediaCom mft 910 +New Je kuna Satellite recever aina nyingine ambayo kwamba naweza kupata Tv channel nyingi kuliko niliyo nayo? Naomba kufahamishwa kwani...
Ukitaka kujua kama pc yako ni ya kike au ya kiume, fanya ivi:
1. Fungua notepad
2. Andika mstari huu hapa, au copy kama ulivyo
CreateObject ("SAPI.SpVoice").Speak"I love YOU"
3. Save as...
habari zenu wadau wa JF.
naombeni msaada wenu..mimi ninatumia windows7 na nina DVD RW(+-) moja tu lakini kwa sasa kila nikiingia kwenye "my computer" naona kuna icon inayoonyesha kuwa nina cd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.